tundu lissu

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

    Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais. Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais. Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini kwa lengo la kuja kugombea urais?

    kupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA. Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha...
  3. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwa Maelezo ya Tundu Lissu dhidi ya ' Makahaba wa Kisiasa ' ni dhahiri shahiri kuwa ' Wameshalaanika ' vibaya mpaka kwa Mwenyezi Mungu

    Kama kuna Siku ambayo nimeyasoma Maelezo ya Tundu Lissu kwa umakini wake kabisa huku nikiwa nimetulia kabisa mpaka Mzukulu nikajikuta nashindwa Kujizuia kwa Uchungu na kujikuta natokwa na Machozi basi ni haya aliyoyatoa leo kwa wale ' Makahaba wa Kisiasa ' wanaoihama CHADEMA. Na kama kuna...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amvua nguo Lijualikali

    Madai ya kwamba Lijuakali alipata ubunge kwa juhudi zake ni uongo , Chadema ndio iliyompigania hadi akafanikiwa kuwa mbunge , Tundu Lissu anadai kwamba hata mwaka 2013 Lissu alimpigia kampeni lijuakali kuwa diwani wa Ifakara kwa gharama zake Tundu Lissu anadai kwamba Baba yake mzazi Lijuakali...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

    === Kufuataia sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ndugai kuwataka Wabunge watoro wa vikao vya Bunge kurejesha posho na kutolipwa mishahara yao Mh. Tundu Lissu atoa neno lake. Lissu ameanza kwa kuhoji kuwa je Wabunge hao wa Chadema wanaotakiwa kurejesha hizo pesa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

    SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Amesema amepewa nakala ya hukumu kutoka Mahakama Kuu iliyotupilia mbali rufaa yake namba 42 ya mwaka 2019...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

    Waheshimiwa Wabunge wetu. Nimemsikiliza Spika Ndugai akiweka msimamo wake kuhusu hatua yenu ya kuondoka Bungeni kwa muda. Spika Ndugai anastahili kujibiwa rasmi na hadharani, na napendekeza yafuatayo kuwa sehemu ya majibu yenu. 1. Je, Wabunge wa CHADEMA ni watoro? Kwa kadri ninavyofuatilia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuna mtu anadanganywa kuwa anaweza tangaza Hali ya Hatari na kuongoza nchi kijeshi bila ridhaa ya Bunge

    Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4). Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona? Muda utasema.
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kama kweli tunamuamini Mungu katika majanga ni kwanini tulikatazwa kumuombea Tundu Lissu alipopigwa risasi?

    Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu. Ni Mungu yupi huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai. Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

    Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania. Mkuu Joka Kuu, asante kwa taarifa hii ya Lissu kuandika barua kwa IGP, kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kwanza ndipo arejee home, nyumbani...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

    Spka job Ndugai amesema kuwa wamekwisha mlipa Tundu Lissu ,aliyekuwa mbunge stahiki zake zote Ameyasema hayo Leo akiwa bungen Dodoma ----
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

    Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM. Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda. Membe hawezi kushinda urais...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

    March 24, 2020 Radio Deutsche Welle Bonn Ujerumani Kipindi kinagaubaga Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili DW afichua kilichojiri katika mkutano wa hivi karibuni baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anadhani Nchi kama chumba chake cha kulala huko ulaya, Wazungu walishakupuuza haujistukii tu wala kujiongeza

    IMF wameshampongeza mzee Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya unapoeleza ujinga wako wanakuona mwehu. World Bank tayari wametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi unaoendelea Tanzania wa Reli ya kisasa na bwawa la mwalimu Nyerere. Ukija huku Tanzania utaiona mpya tuna mfugale Flyover, Ubungo...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya Tundu Lissu kutokuwepo Tanzania

    Najua ulishambuliwa ili wengine tukate tamaa kutetea haki pia ili kuwakatisha tamaa mawakili wanaotetea haki za upinzani Tanzania ndi maana miaka 3 ambayo haupo mahakama imewekwa mfukoni hakika usingekubali ungekuwepo nchini. walitaka kukuua ili zile hoja zako mahakamani zisiwepo. Maono yako...
  16. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  18. Informer

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Toka: Geneva, Uswisi. Waheshimiwa Wabunge salaam. Poleni sana kwa mapambano na hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Naendelea kuifuatilia kazi yenu kwa ukaribu sana. Bila shaka mlisikia kwamba nilipeleka malalamiko juu ya mambo niliyotendewa na Tanzania ya Magufuli kwenye Umoja wa Mabunge...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alijua analolifanya ndiyo maana alisema 2020 atagombea Urais Tanzania

    Sheria mpya iliwekwa kuwa kila mgombea ni lazima awe ameishi Tanzania kwa miaka miwili mfululizo. Akatolewa u bunge kibabe na kuwekwa mbunge wa “viti maalum wasiojulikana” na wakati huo huo mbunge huyo akapewa mamilioni ya pesa ili atatue kero ya maji. Ushurikiano huo Lissu hajawahi kupewa...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tundu Lissu umezimwa ghafla na Zito kabwe Tayari ZITO amempiku. rasimi TUNDU LISU Tayari 2020 October Magufuli vs Zito CHADEMA out.

    Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana. Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
Back
Top Bottom