Tundu Lissu bado unayo nafasi ya kurekebisha hotuba yako! Usiongelee Macro issues kupita kiasi!

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.

Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.

TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.

Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.

Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.

Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.

Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.

Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.

Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.

Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.

TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.

Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
 
Hapo kwenye vyeti feki kwamba hawakusikilizwa sidhani. Wao wenyewe waliambiwa wajiondoe ili wasishtakiwe na wakakimbia vituo vyao vyakazi. . Sasa mtu Kama hana vyeti asikilizwe Kitu gani au Kama watu wawili wanatumia Cheti kimoja wasikilizwe nini zaidi ya ambae Cheti sio chake kutimua mbio.
 
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamzui ule ulikuwa sahihi. kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umaliz channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa. Kwa hapa pia unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika.

Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyo husu na visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.

TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa.

Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.

Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. na wala usisema unauondosha.

Ongelea kuhusu penshni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.

Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa vingozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na kangi Lugola amabaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tauataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa.

Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kampicha ya Isabela hivi.

Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo utawaondoa ukichukua nchi. unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale amabao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.

Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwingine yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.

TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaonjengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga chato hamishia Dodoma.

Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hivi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege. maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
Hivi kusimamia utawala wa sheria maana yake nini kwa ninyi wajuvi wa mambo?
 
May be Mimi ndo gharasa otherwise naona humu umejaza petty issue tupu
 
Tuendelee kumuombea na kumpa ushauri kama huu. Pia tukumbuke, vyama vingine havina sera za maana hivyo akiongea nyeti mapema wanazipiku! Nashauri awe superficial hadi ateuliwe na Chama. Lets pray for this Gentleman!
 
1. Mimi nadhani katika hatua hii ya awali ya KUTANGAZA NIA TU, si lazima aende in detail ktk maeneo yote madogo madogo kabla ya ILANI YA UCHAGUZI kutoka. Katika hatua hii ameongea mambo ktk ujumla wake na nadhani inatosha sana na kweli jamaa alieleweka kwa uzuri kabisa....

Details ktk ishu specific i.e wafanyakazi, polisi, wakulima na kilimo nk nk description yake (mapungufu na yeye atafanya nini), obviousily itafanyika mara uthibitisho wa NIA na maandalizi ya ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA (2020 - 2025) kuwa imekamilika.....

2. Kwa sababu hiyo, naomba nitofautiane kidogo na wewe kuhusu hili....

Hotuba ya jamaa ni BORA SANA kwa maana iliongelea na kufunika kwa ujumla wake mambo yote ambayo ni;

å Ya kiuchumi kwa ujumla wake

å Ya kijamii kwa ujumla wake

å Ya kisiasa kwa ujumla wake

å Ya kidiplomasia (ndani & nje)kwa ujumla wake

3. Hayo yote uliyoyaongea yanaingia katika maeneo maatatu makuu (uchumi, jamii na siasa)...

Kwa mfano, maamuzi ya Magufuli mara alipoingia madarakani yaliyoathiri na yanayoendelea kuwaathiri;

• Wakulima na sekta ya KILIMO
• Wafanyabiashara (wadogo, kati & wakubwa) na sekta ya BIASHARA
• Wafanyakazi na sekta ya UTUMISHI WA UMMA nk nk

Yote haya yanaathiri SEKTA ZA KIUCHUMI na KIJAMII kwa ujumla wake kunakotokana na msukumo wa maamuzi mabovu ya serikali hii iliyopo madarakani sasa yaliyosukumwa na mihemuko tu ya KISIASA bila kuangalia athari zake hasi ktk jamii...

4. Kuchambua eneo moja ndogo mahususi (specific) mfano;
• Namna ya kuwainua watumushi wa umma na sekta binafsi
• Kua address walioathiriwa na maamuzi mabovu ya utawala uliopita
• Namna ya kuimarisha sekta ya utalii ama madini
• Namna ya kuimarisha uwajibikaji katika sekta/kada mbali za kiutumishi e.g polisi, magereza, mahakama, JWTZ, TISS, nk nk

Itafanyika mara atakapokuwa amepata uteuzi rasmi wa kuwa mgombea. Na haya ni sharti yawiane na ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA....

Kwa maoni yangu, katika hatua hii ya awali binafsi sioni tatizo ama mapungufu ktk hotuba yake na KUTANGAZA NIA YA KUUTAKA URAIS...

After all, katika hatua hii ya awali ya kutangaza tu NIA, mtu mwingine anaweza kuitangaza hiyo NIA hata bila ya kutoa hotuba yoyote iliyoshiba kama ya Tundu Lissu na bado akakubalika...
 
We msomi hutujui sisi WaSwahili wengi ambao ni wapiga kura. Macro issues hatuzielewe - chambua chambua - mfano tu angesema tu "nitadeal na vyeti feki kwa wanasiasa" yaani tungeshangilia sana na mpaka hapo angeshapata hata kura milioni moja!
 
Tuendelee kumuombea na kumpa ushauri kama huu. Pia tukumbuke, vyama vingine havina sera za maana hivyo akiongea nyeti mapema wanazipiku! Nashauri awe superficial hadi ateuliwe na Chama. Lets pray for this Gentleman!
Wakizichukua itajulikana tu!
 
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya watumishi wa umma ambao kwa sasa wananyanyasika sana. Hata hivyo wengi wetu tunaamini kwa kuwa hukuwahi kuajiriwa Serikalini kuna uwezekano hupendi watumishi wa umma - na unaona JPM alichofanya kwao kwa mikaa hii mitano ni sawa tu. Ninajua pia umekwepa kuongelea hatima ya wale wa vyeti feki walioondolewa bila hata haki ya kusikilizwa kwa sababu unawajua asimilia kubwa ya wananchi wapiga kura waliona uamuzi ule ulikuwa sahihi, inagwa waliondoshwa kwa uonevu sana. Kumbuka waliwaajiri hawajaguswa mapaka leo. Zaidi kumbuka hao watu wapo na mpaka leo hawajawahi kusikilizwa hata kama wanachukuliwa hawana haki. Haki ya kusikilizwa iliwekwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Anyway hao sio issue sana kwangu! unaweza usiwaongelee ila ukiingia madarakani watakufuata umalize channgamoto yao - wana michango yao kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na hawajawahi kulipwa kwani ukweli walifanya kazi na kazi yao haikuwa feki. Lakini pia mbadala wake unaweza kuongelea kuibua suala la vyeti feki kwa viongozi wa kisiasa waliopo - kama vipi wakati wanaondoka wewe ukiingia wasilipwe marupurupu yao - kwani itaonesha ni namna gani double standard ilifanyika huko nyuma na wewe unarekebisha.

Kwa hapa pia unaweza kugusia kuwa na vyama vya wafanyakazi vilivyopo uvipe uhuru wa kufanya mambo yao zaidi bila kuingiliwa na usisitize visiwe kwa ajili ya kukusanya ada tu za wanachama wake na kuzila kinyemela.

TAL naona uliongelea sana kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kuliko nini utafanya ili ukiukwaji huo usiwepo. Hukugusia kwa watu wa chini wa maisha ya kawaida wanavyonyanyasika. Achana na macro issues wewe ongelea ada za shule - sema itakuwa free mpaka Form Six, kupunguza asimilia ya marejesho ya bodi za mikopo, kupunguza riba za benki mtu akikopa, n.k. Haya ni matamu kusikiwa na wapiga kura.

Gusia mambo ya upendo na kufuatwa kwa taratibu. Ongelea kuongeza mikopo ya elimu ya juu (hapa utagusa wapiga kura wengi ambao ni vijana). Waahidi kupata mitaji wakimaliza vyuo hasa kutokana na kuimarisha mitaji ya kwenye kilimo na pia fursa zingine lukuki.

Ongelea kdg kuhusu wakulima wetu - kuwa utatoa mbolea kwa bei karibu na bure Serikali itawanunulia - subsidies. Kuruhusu mikopo zaidi kwa pembejeo za kilimo - kwa sasa pembejeo hizo bado zipo juu hata Mradi wa Kilimo Kwanza ulikuwa expensive - uboreshe Mradi huo. Na wala usisema unauondosha.

Ongelea kuhusu pensheni ya wazee wote kama wenzetu wa Zanzibar. Najua ukiongelea tu hili CCM tutalitelekeza kwa sababu ni kama lipo kwenye mpango ambao upo kwenye shelf ya vitabu kwa muda mrefu.

Gusia utumbuaji ambao utafuata utaratibu wa kisheria. Hutatumbua tu bila kuwa na uhakika kwani unaweza kufanya uonevu pia. Sema wazi kuwa viongozi wanaopatikana kushiriki vitendo vya rushwa kwa awamu hii wote watawajibishwa katika kipindi chako. Mfano unaweza kuanzia na Kangi Lugola ambaye anaruka ruka kama bisi zinakaangwa na pia unaweza kuongelea kuwa utaibua ile issue ya trilioni 1.5 na wote watakaohusika utawadeal na hataachwa mtu. Ukweli wananchi tunataka kulisikia hilo vizuri - kwa kutumia uzoefu wako wa kisheria rahisisha sana kuonesha ubadhirifu huo wa 1.5 trilioni ulivyofanyika na matukio mengine ya kifisadi na kuahidi kudeal na wale walioshiriki. Sisi wananchi tunapenda ahadi za hivyo kwa sababu inakuwa kama picha fulani hivi inachezwa na unatamani kuiangalia.

Ongelea mfano kibinyo alichokipata Lowasa hadi akahama Chama chetu akaja kwenu na kisha kibinyo kikaongezeka akarudi tena CCM - tunajua ni kwa ajili ya kumwokoa mkwe wake. Sema hili wazi wazi TAL. Kuongelea macro issues utawapata wachache sana - wasomi tu. Sisi tunataka stori yaani kama picha ya Isabela hivi.

Unaweza kwa mfano kuchukua pia orodha ya walio kwenye nafasi kwa upendeleo kuwa utawaondoa ukichukua nchi. Unaweza kuwataja hata kwa majina mfano wale ambao ulishawahi kuwataja na wengine wengi tu ambao najua ukiomba ushahidhi unaweza ukaletewa. Hapa utakuwa umetengeneza movie kali pia kwa sababu WaTanzania tulivyo hatupendi kabisa issues za nepotism na undugunaization. Hawa wapo wengi awamu hii.

Mfano mwingine ongelea kuhusu kuanzisha uchunguzi kwa upoteaji wa watu kama akina Ben Saa na Azory. Weka wazi wazi kuwa hata mwanaCCM mwenzetu yeyote akipotea kwa mazingira kama hayo wewe huko tayari kuliacha lipite - haki ya uhai ni ya kila mtu. Sema wazi kama ukigundua kuna kiongozi alihusika na upoteaji wao utaruhusu vyombo vya Sheria vifanya kazi yake regardless ana nafasi gani.

TAL - nina vidude vya kijinga jinga vingi ambavyo ninashauri uviweke kwenye hotuba yako itakayofuata - nafikiri wakati unachukua fomu - kwani WaTanzania kwa sasa tunapenda sana hoja zenye mwelekeo wa kimajungu majungu na sio macro issues kama ulivyoongelea wewe. Mfano mwingine unaweza kusema wewe kununua midege tayari inatosha na pia kama labda uwanja mkubwa unaojengwa Chato hautakuwa umekamilika basi mradi huo utahamishia Mwanza kuimarisha uwanja wa Mwanza. Dodoma kwa sababu ni karibu na Singida kwenu ongelea kuiendeleza faster zaidi kuliko awamu hii na ikibidi bajeti zote zinazojenga Chato hamishia Dodoma.

Yaani basi tu ngoja niishie hapa. Kikubwa pls hebu ongea hizi trivial issues ambazo zina madhara sana kwenye jamii yetu hii, achana na macro issues - tukimaliza uswahili swahili huu ndiyo tunaweza kuhamia kwenye hayo mambo makubwa ya kujadili kama madege, maSGR, Mafly over, n.k kwani kwa sasa hayo hayatupatii ugali wa kila siku.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
Mkuu inawezekana ulichoandika ni ujinga mtupu kwa mwingine ila umeandika vitu vya msingi sana kwa jamii yetu ata kama ni keeli tunapenda majungu na movies bali kiutendaji ndo msingi tunayotaka kwa sasa mqqna hayo miradi mikubwa kwa sasa hatuoni faida yake mijq kwa moja'
 
Jamii yetu ndiyo ipo hivyo kwa sasa!
 
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.

Wenzangu msaidieni TAL issues zaidi za kuongea na kutekeleza akiwa Rais.
Naunga mkono hoja, upinzani wa Tanzania unahitaji kusaidiwa to set agenda that matters most kwa wapiga kura wa kawaida ambao ndio determinant ya ushindi.

P
 
Na haya pia ayaongelee,vita dhidi ya ulevi na kauli yake ya kuunga mkono ushoga aliyoitoa kule Alabama.
FB_IMG_1592137524831.jpeg
FB_IMG_1592137507510.jpeg
FB_IMG_1591479815656.jpeg
 
Nadhani kwa hatua ya kutangaza nia na kuomba ridhaa ndani ya chama chake (CDM) yuko sahihi sana.

At this point lazima azungumzie macro issue zinazolandana na Vision ya chama kwa kuwa anaomba kuwa flag bearer wa chama kwa hiyo lazima aoneshe ana mrengo wenye kufanana na chama (hii ni muhimu sana).

Uliyo yashauri bado yana nafasi ya kuwa covered kwenye campaign (kama wataona inafaa) na kama watajiridhisha kuwa yanaweza kuongeza ushawishi kwa wapiga kura.

So far so good for him, we wish him good luck.
 
Nakubaliana na wewe lkn angeweka tu hivyo vionjo ingeleta hamasa sana. Mfano unapoongelea uchumi unagusa hadi ubadhirifu wa 1.5 trilioni na kusema umesababishwa na kuwekana ndugu kwenye sehemu nyeti zinazohusu matumizi ya serikali na hivyo imeyumbisha uchumi. Hapo unachomeka kuwa wale walioteuliwa kwa kuangalia undugu utadeal nao kwa sababu ndiyo wanahusika na kudorora kwa uchumi na ushahidi wa shilingi trilioni 1.5 unao na utawawajibisha wote waliozila na tena watazitapika!
 
Back
Top Bottom