tundu lissu

  1. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alionya kuwa mwaka huu issue si uchaguzi huru na wa haki kwani hilo halipo, bali ni kama tutaendelea kuwa hai na salama baada ya uchaguzi

    Siku moja au mbili kabila ya kurejea nchini,Lissu alihojiwa na chombo kimoja cha habari kuhusu swala zima la uchaguzi na iwapo uchaguzi itakuwa huru na wa haki. Nakumbuka Lissu alijibu kwa kusema:Issue sio uchaguzi huru na wa haki, kwani hilo halitaraji, bali issue ni je,tutaendelea na maisha...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwamuru Lissu kufika mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi, Septemba 14, mwaka huu, baada ya jana kushindwa kufika kusikiliza kesi yake. Amri hiyo ilitolewa jana na mahakama hiyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    Ni Ijumaa tulivu. Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu. Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Ikungulyabashashi

    Dah! Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa. Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani. Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi! Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

    Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote . Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mamia wajitokeza kumdhamini Tundu Lissu Bariadi Mkoa wa Simiyu

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Juma Mwalim, akizungumza na Wananchi wa Bariadi Mkoa wa Simiyu waliofika kwa ajili ya kumdhamini, leo Alhamis, Agosti 13, 2020.
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

    Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga. Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza. Hapa Nyegezi ndipo...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

    Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo! Tunaondoka Tarime kama hivyo!
  12. dubu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

    Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la hoja za kisheria, wanasheria wetu humu, tusaidieni, kufuatia Tundu Lissu kufutwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, na kosa hilo ni a disqualification ya kutogombea urais, na ukijumlisha na Lissu kuwa ni mtuhumiwa wa jinai lukuki...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

    Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500 Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily. Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Habari ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu yaandikwa na waandishi 14

    Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 11/8/2020 yenye kichwa cha habari kinachosema "SIMPITISHI YEYOTE MATESO HAYA" habari hii yenye paragrafu 29 imeandikwa na waandishi 14, ambao ni Daniel Mjema, Bakari Kiango, Andrew Gasper, Mussa Juma, Rachael Chibwete , Twalad Salum, Rehema Matowo, Ernest...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, jambo lingine ambalo hatukuwahi kuliona enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hili hapa, usiache kulisema kumsaidia kampeni JPM

    Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Tundu Lissu

    Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu. Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  19. mserekale

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu apatiwe muda wa kupumzika

    Tangu Tundu Lissu ameingia nchini hajapata muda wa kutosha wa kupumzika. Mara baada ya kuingia moja kwa moja alikutana na vikao vya chama tangu hapo hajapumzika tena yuko field muda wote kutafuta wadhamini. Nashauri awe anapumzika angalau mara siku moja moja kabla ya kufunga safari ya kutafuta...
  20. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
Back
Top Bottom