tundu lissu

  1. Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  2. GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  3. M

    Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

    Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa chama Chochote Cha Siasa. Yeyote anayefanya vizuri Mimi ni Mfuasi wake kwa Maslahi ya Tanzania. Nawashauri CHADEMA waanze kumwandaa Tundu Lisu Kuanzia Sasa ili aje kuwa Mgombea wa Uraisi 2020.Huyu ni Mwanasheria Nguli Na ni Mtu anayejitambua sana. Kwa taaluma...
  4. L

    GE2020 Kesi za Tundu Lissu na Uchaguzi Mkuu wa 2020

    CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais. Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi...
  5. Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

    Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye 💯/💯! Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi. Iachane na mambo ya faragha za watu. Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
  6. GE2020 Si amejenga Madaraja nchi nzima? Vipi tena anamhofia Lissu?

    Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa.. Lkn pamoja na Woga wake Huyu mgombea kwa Miaka mitano Amejenga Madaraja na flyovers nchi nzima Amenunua Ndege, akajenga...
  7. C

    GE2020 Akili ni kumuacha Tundu Lissu agombee bila vikwazo, NEC na CCM eleweni

    Habari wana JF, Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu? Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala msihangaike kumuwekea mizengwe. Iko hivi Tundu Lissu anaenda kuwa mgumu zaidi na Upinzani halisi...
  8. Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi. Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha...
  9. Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

    Tupo Tayari Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru. Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O Magoli yote ya Simba Onyo Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo...
  10. Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la MwanaHALISI la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa "Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya...
  11. Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

    Kwa sisi wazee wa imani . ukisoma Yoshua 23: 12- 13. wana wa israel waliambiwa na joshua . wasirudi nyuma ,wasonge mbele kuwaondoa wale wana wa kanaani wote . wakiwaacha itakuwa mtego na kitanzi kwao . Hoja yangu ni kuwa kwa kuwa wao waliamua kummaliza lissu na ikashindikana . sasa hii imekuwa...
  12. W

    GE2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

    Ndugu zangu, ''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo...
  13. GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017. Akihutubia umati wa wananchi...
  14. J

    Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

    Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA. Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze...
  15. Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  16. CHADEMA na hasa timu ya Kampeni ya Tundu Lissu, pokeeni huu ushauri wangu kwenu kama mtaona unawafaa

    Niliamua Kiumakini kabisa kutenga muda wangu na kumuangalia kwa Jicho langu la Tatu Mgombea wenu wa Urais Mtani wangu kutoka Singida Mheshimiwa Tundu Antipasi Lissu na hatimaye nikajikuta 'nagundua' mambo kadhaa ambayo kwa nia njema tu kama Watani na Marafiki zangu nitawaomba muyasome...
  17. M

    Tundu Lissu ndani ya Songwe leo ni fungakazi. Wananchi wampokea kwa mapokezi mazito

    Hakika upinzani upo miyoni mwa wananchi. Muache Magufuli aminye demokrasia, afungie vyombo vya habari, lakini mbegu iliyopandwa na wataka demokrasia nchini kuanzia enzi za akina james mapalala, Komu, Mzee Fundikira, James Mbatia, Maalim seif,Mwalimu Nyerere na wote waliopambana hadi kurudisha...
  18. GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

  19. J

    Nadhani Tundu Lissu anamsaidia Rais Magufuli. Anasema ukweli ambao wana-CCM, wasaidizi, na washauri, wanaogopa kumwambia Magufuli

    Vitisho anavyopokea Tundu Lissu vinatoka kwa wasaidizi wa Rais Magufuli ambao wameshindwa kumwambia bosi wao ukweli. Wanamdanganya Rais Magufuli kuwa anatukanwa, lakini ukweli ni kwamba Tundu Lissu anasema mambo ambayo yalitakiwa yasemwe na washauri na wasaidizi wa Rais Magufuli. Rais Magufuli...
  20. VIDEO: Tundu Lissu ni balaa, anajua kuwasilisha ujumbe kwa hadhira, anajua kukera kwa kukupiga na ukweli

    Sijui Polepole wa CCM na wafuasi wake LB7 wa mitandaoni wanaweza kuja na majibu gani katika hoja hizi hapa. Watu sasa ndiyo wanaanza kupata na kuona ukweli wa upande wa pili wa shilingi wa CCM na Magufuli wao. Hiki ndicho kilichokuwa kinazuiwa na kufichwa na watawala ili wananchi wasielewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…