Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:
Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli.
Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi;
1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi.
Tundu Lissu amesema kuwa mapema tarehe 7 mwaka huu alihoji kuwa yupo wapi rais Magufuli baada ya kutoonekana kanisani na mitaani...
Juzi jioni bila kutarajia niliwakuta hawa wazee mtaa wa Tandamti ndo wanafunga biashara mapema saa 10.
Nawauliza imekuwaje? wakanambia kuna kikao cha dharura.
Nikawauliza kuna nini?
Msafisha viatu akasema alitaka kusoma ujumbe wa WhatsApp ulosema kwamba uvumi na uzushi dhidi ya kiongozi wa...
Tundu Lissu kama Mtanzania mwenzetu alikuwa na haki zote kuhoji alipo Rais wa JMT. Maana ibara ya 18 (b) imebainisha wazi kuwa mtanzania yoyote anayo haki ya kikatiba, kutafuta habari, kupokea habari na kushirikiana na watanzania wenzake kupata habari kwa manufaa ya taifa letu.
Tundu Lissu ni...
Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku.
Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo
• Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani.
Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa.
Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema.
Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake.
Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa...
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Ndg Tundu Lissu amesema, chama hakijapokea ruzuku yeyote toka serikalini na kama kuna mtu ana ushahidi kuwa wamepokea basi auonyeshe, kaongeza kusema, fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa ni chanzo kimoja tu cha mapato ya chama, kuna vyama havina ruzuku lakini...
Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for your violent and fraudulent actions! And there's more to come!
Chanzo: Ukurasa wake wa twitter.
PIA...
Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020.
====
Dar es Salaam. Chadema Vice...
Salaam Wana JF.
Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Sijaona mantiki ya Lissu kupotosha umma wa Watanzania dhidi...
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi
Amewaomba wadau...
Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote...
HOTUBA YA MH. TUNDU LISSU ALIYOTOA BAADA YA KUPOKEA TUZO YA KUPIGANIA UHURU, HAKI NA UTAWALA BORA ( BUSH - THATCHER AWARDS FOR FREEDOM) KUTOKA UMOJA WA VYAMA VYA KIDEMOKRASIA DUNIANI (IDU).
Hotuba hii imetafsiriwa kutoka lugha ya kiingereza na Hosea Ikubisabu.
Mh. Mwenyekiti Rt. Stephen...
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu.
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.