tundu lissu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu ndiye Lazaro Samwel Nyalandu

    Naupenda Urais... Nampenda Lissu... ' Naipenda Chadema... Hapa nimefika...
  2. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

    Inafikirisha sana! Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu. Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kuhusu maji Ikungi Mashariki. Spika Ndugai asema Jimbo lilitelekezwa na aliyekimbilia Ubelgiji

    Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji. Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema...
  4. omtiti

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

    Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa, anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa, matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu. Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi ======= “Nilipoenda nchi ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

    Wakati akihojiwa na DW! Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps. Mfano: Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

    Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Tundu Lissu kuhusu Hayati Magufuli

    Ndugu Tundu Lissu, ingawa yuko CHADEMA na mimi CCM, ni zaidi ya rafiki kwangu. Nimemzidi umri na uzoefu katika siasa lakini amenizidi maarifa ya kisasa. Lissu nipo naye kwenye shida na raha kisiasa na kimaisha. Ni zaidi ya ndugu yangu. Tunafurahi wote na kuhuzunika pamoja. Lissu, mwanzoni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

    Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

    Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono. Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu aliwahi kunena haya kuhusu mfumo wa kodi

  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuweka taxpayers bill of rights walipa kodi wataendelea kuonewa na kupata dhuluma.

    Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  17. Libya

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu shujaa anayelindwa na Mungu, silaha za kibinadamu hazikuweza kutoa uhai wake

    Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria. Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

    Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
  20. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    Wasalaam wapendwa! Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu. Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti...
Back
Top Bottom