Tusikaze mioyo yetu. Kuna "jambo letu" tunafundishwa kupitia Tundu Lissu

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,763
2,000
Tangu aanze kampeni mikutano ya hadhara ya Mhe. Lissu inajaza watu wenye hamasa kila kona. Wananchi wanakuja wenyewe kwa maelfu huku kukiwa hakuna matumbuizo ya wasanii, wanamuziki, wachekeshaji, wala ubebaji wa watu kwa malori kutoka sehemu nyingine.

Hii inaashiria kukubalika kwake. Ana mvuto wa kikarisma. Isitoshe, anachozungumza ni madini tupu yanayogusa ubongo na uhalisia. Haijawahi kutokea katika kampeni za urais nchi hii chini ya siasa za vyama vingi.

Historia yake pia ni ya kipekee. Kuna kitu Mungu anataka kuifundisha Tanzania. Tusikaze migumu mioyo yetu.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,763
2,000
Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.

Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?

Bwana yule anaboa sana. Kodi zetu halafu anajisifia yeye kwenye kampeni za urais eti kamwaga fedha kufanya hiki na kile kwa miaka 5. Na bila aibu, uwanja wa ndege kajijengea mtaani kwake! TZ tulikosea wapi 2015?
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
5,447
2,000
Je wapiga kura wa nchi hii wanaweza kuchambua mchele na pumba? October 28 tutapata jibu
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,355
2,000
Spana spana spana spana mkuu kila mtu akishapigwa spana yoyote ile basi akili humrudia,bila shaka na yeye ameshaonja spana iwe direct au indirect kanyyosha mikono na sasa anatumia ubongo kufikiri.
Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.

Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
4,509
2,000
Hajafikia nusu ya EL

HEIL JPM
Tangu aanze kampeni mikutano ya hadhara ya Mhe. Lissu inajaza watu wenye hamasa kila kona. Wananchi wanakuja wenyewe kwa maelfu huku kukiwa hakuna matumbuizo ya wasanii, wanamuziki, wachekeshaji, wala ubebaji wa watu kwa malori kutoka sehemu nyingine.

Hii inaashiria kukubalika kwake. Ana mvuto wa kikarisma. Isitoshe, anachozungumza ni madini tupu yanayogusa ubongo na uhalisia. Haijawahi kutokea katika kampeni za urais nchi hii chini ya siasa za vyama vingi.

Historia yake pia ni ya kipekee. Kuna kitu Mungu anataka kuifundisha Tanzania. Tusikaze migumu mioyo yetu.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
15,945
2,000
Spana spana spana spana mkuu kila mtu akishapigwa spana yoyote ile basi akili humrudia,bila shaka na yeye ameshaonja spana iwe direct au indirect kanyyosha mikono na sasa anatumia ubongo kufikiri.
Ofcourse hawa wakikugusa
Wokovu umefika nyumbani kwako Bwana Share, usiiache nafasi hii ikupite. Wajulishe na wengine ukuu wa Mungu.
Ameeni
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
28,783
2,000
Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.

Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Ukiona Giza Linazidi Ujue Ndiyo Kunapambazuka Sasa Hivi, Ameona Ukweli
Ndiyo Maana Ametoka Kuwa Mtu
Kusifu Na Kuabudu,
Mpaka Sasa Hivi Maamuzi Watu Wanayo Ni Muda Ufike

Kuna Mambo Yanakwenda Kasi Yanatia Kinyaa
Yanachoma Moyo, Yanaacha Watu Midomo Wazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom