Wanasimba teka letu la magoli tumepigwa

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,239
22,674
Wanasimba wenzangu

Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii..

Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..!

Hivi si hata pale mtibwa hapati namba huyu?
Mtu mzito kakamaa kama bao la kwanza kitandani jamani hamuoni?

Sasa huyu teka ndio atatupeleka final kweli? Mbona kina mangungu wanazidi kutuonyesha namna walivyo matapeli?

Yaani jana nimelia sana baada ya mechi kwa kweli .
Licha ya huyo kuna yule sarr

Hivi mnatoa wachezaji wavunja kuni nyie viongozi? Tunaoumia ni sisi mashabiki mjue mtu anakimbia anatazama tu chini kama kobe kweli?

Sisi wanasimba ni mbumbumbu toleo la mwisho kabisa ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom