tumepigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tumepigwa tena? Tovuti ya TRC haina hata mpango kazi wa ujenzi wa SGR Tabora - Kigoma

    Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma. Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena? Soma mwenyewe hapa...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi uchwara vipi, Lomalisa bado tumepigwa?

    Mechi ya tatu mfululizo dogo anakiwasha kisawasawa, kuanzia Tunisia, kule Mwanza na leo uwanja wa taifa. Wachambuzi wa bongo Lomalisa anawavua nguo! Ushauri katika uchambuzi wenu lazima muwe mnaweka akiba ya maneno.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiri hizi treni za SGR ndo zenyewe au tumepigwa tena?

    *Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania yanayotengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock (SSRT) iliyoko...
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Mzungu wa Simba tumepigwa na kitu kizito kichwani

    Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
  6. Championship

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wana yanga wenzangu tukubali tu kuwa hapa tumepigwa

    Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu? Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu? Msimu uliopita mlituvalisha misukule msimu huu mmeamua kutuletea magofu na machinjio hii haikubaliki.
  8. Area 56

    JamiiForums Tanzania Azizi Ki tumepigwa mchana kweupeee

    Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili. Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili wakati ukijumlisha magoli na assist zake jumla hupati walau hata magoli 15 kwa msimu. Aziz Ki ni...
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mungu ni muweza wa yote, Mbona kamuacha shetani anafanya kazi zake?

    Jamani Mungu kweli ni waajabu? Nambona shetani anatawala sana Mungu ni muweza wa yote? Mbona kamuacha shetani anafanya kazi zake . Tuseme ujweli kunabinadamu hua anaomba utajiri kwa Mungu anapewa wacha tu utajiri na mambo mengine Ila kwa shetani papo hapo utayaona mabadiliko wacha hivyo...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Uandaaji wa filamu ya Royal Tour tumepigwa lakini uzinduzi wake tunapigwa zaidi!

    Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona...
  11. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA tumepigwa😀😀

    Ukichunguza vitambulisho vya NIDA vingi vina makosa kwenye vipengele mbalimbali, unaweza kuwa ni ile card inataarifa vizuri kabisa inayoonyesha taarifa zako kama kwenye birth certificate vizuri kabisa ila ile namba ikiingizwa kwenye system inayosoma card yako ikaleta details tofauti kabisa kama...
  12. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua. Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

    Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake. Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime. Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani. Hata...
  14. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

    Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

    Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna. Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?! Kwa haya anayo yaongea PM kuna...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa! Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Msanii Zuchu ameshauriwa na nani kutoa wimbo huu wa Meja Kunta. Mashabiki tumepigwa hakika

    Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure. Kwa level za wimbo wa...
  19. Kigoma Independent

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

    Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa. Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz. Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu. WAAH...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mkatae mkubali Awamu ya Tano Ttumepigwa mno

    Ukweli siku zote humuweka mtu huru. Huyu Mwendazake alikuwa mnafiki sana kila jumapili utasikia ooh tumuweke Mungu mbele....lakini kumbe huyu alikuwa anatupiga vya kutosha. Ukijumlisha ufisadi wote uliofanyika kipindi cha Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete unapata ufisadi wa Magufuli. Kwenye...
Back
Top Bottom