Tunapigwa sana na Wachina 🄲

Tunapigwa sana na Wachina 🄲

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,969
Reaction score
45,797
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..

Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..

SAMIA WHAT IS THIS

Britanicca
 
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS SHIT šŸ’©

Britanicca
Ila waTanzania hawana habari na wala hawana uchungu kabisa na nchi yao. Inasikitisha sana. Wao waonge hela ndogo tu wape kushabikia muziki, mpira na ujinga wa kina Mwijaku na uwatishe kuwa wapinzani wanaleta fujo na kutaharibia amanai basi the rest you can do whatever you want ata kama kuchukua kipande cha nchi yao wao sawa tu. Hiyo ndo Tanzania
 
Yaan tumelala kabisa
 
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..

Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..

SAMIA WHAT IS THIS

Britanicca
Wewe unatuongezea tu msongo wa akili; kana kwamba yaliyopo hayatoshi kuumiza roho za watu.

Sasa tueleze basi tuelewe unasema nini na ushahidi ulionao wewe; hata wa kimazingira tu.

Ni nani asiyejuwa wizi wa waChina, lakini sasa si wizi tena, ni kama wanazoa tu mali isiyokuwa na mwenyewe!

Tumeharibikiwa sana, lakini hasa sijui kwa nini wananchi nasi ni kama tumegandishwa akili kabisa ili tusistuke!

Kelele zote zile alizopiga Magufuli kuhusu mali zetu, hakuna hata moja iliyotuingia kichwani?
Na kwa wale wazee je, mafunzo yote ya Mwalimu Nyerere kuhusu raslimali za taifa hili, hata wao hawakumbuki kabisa lolote?

Tumebaki na akina Stphen Wassira na akina Kibudu Kalamaganda, wakiwa mstari wa mbele kunadi mali za waTanzania, kana kwamba hawakuwepo kabisa wakati wa mafunzo?

Sasa tufanyeje, nani ataliokoa taifa hili!
 
Naumkza sana kuona raslimali za nchi kama madini, gesi, nk. badala ya kuinufaisha nchi! Zinawanufaisha wageni huku wananchi wakiongezewa kodi na tozo kila mwaka ili serikali hiyo hiyo iishi maisha ya kifahari!

Kwa hali hii tukubali tu Waafrika tuko hapa duniani kwa bahati mbaya.
 
Ila waTanzania hawana habari na wala hawana uchungu kabisa na nchi yao. Inasikitisha sana. Wao waonge hela ndogo tu wape kushabikia muziki, mpira na ujinga wa kina Mwijaku na uwatishe kuwa wapinzani wanaleta fujo na kutaharibia amanai basi the rest you can do whatever you want ata kama kuchukua kipande cha nchi yao wao sawa tu. Hiyo ndo Tanzania
Nilitaka nikukumbushe yaliyosemwa na Jambazi mkuu Samia aliyosema huko Kigoma.
Nimeona nisipoteze tu muda wangu.
Mada hiyo ya maneno aliyosema Kigoma bado ipo mbele ya ukumbi huu, ukitaka nenda kajikumbushe mwenyewe.

Bado hukumbuki wamasai wa Ngorongoro kuhamishiwa Handeni, au ulikuwa bado nimdogo sana mkuu 'TIETA'
 
Back
Top Bottom