Simba tumepigwa. Bus jipya la Simba (Irriza) limeharibika njiani.

Simba tumepigwa. Bus jipya la Simba (Irriza) limeharibika njiani.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,663
Reaction score
167,599
Bus la kifahari la simba aina ya Irizar limeharibika njiani wakielekea karatu kwenye uzinduzi wa jezi yao mpya

Uzuri walikuwa wamesafiri na fundi kabisa, kwani tangu mwanzo wa safari lilikuwa halitaki kuwaka, hadi lisukumwe.
1000020942.jpg
 
Hiyo ndo michina body irizar.
Nimepanda Irizar ya ghorofa nchi kwa nchi masaa 24 inacheua tu.
Madereva ndo wanabadilishana,
sijaona hata lijazwe mafuta,wala pancha.
Kuna marcopolo moja imeendeshwa from Rio to Peru siku saba iko njiani kwenye mapori Amazon haikuwa na shida yoyote.
 
Mimi ni Yanga! Ila ni mtu wa vyuma! Kwa hii issue wala sishangai, inaharibika mimba sembuse gari jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom