tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 14 watuhumiwa kuwabaka wadada wanamitindo wakati wakirekodi video ya muziki

    Wanaume 14 wamefunguliwa mashtaka ya kuwabaka wanawake wanane baada ya kuwavamia wakati wakirekodi video ya muziki katika mgodi uliotelekezwa Johannesburg Nchini Afrika Kusini Mtuhumiwa mdogo zaidi katika kundi la wahalifu ana umri wa miaka 16 ambapo amepelekwa kituo cha watoto kuhukumiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Zambia ahojiwa tuhuma za rushwa

    Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa Lusaka. Nyumba hizo 15 ziliweka chini ya uangalizi maalum mwezi huu zikidaiwa kuwa zilipatikana kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  6. JamiiForums Tanzania Mama na mtoto wafikishwa kortini kwa tuhuma za mauaji ya ndugu yao wa damu

    Mama na mtoto wake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa madai ya kumuua Beatrice Magombola ambaye ni ndugu yao wa damu moja. Washitakiwa hao ni Alphonse Magombola (34) mkazi wa Bunju B Mpakani na Sophia Mwenda (61) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam. Marehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  8. JamiiForums Tanzania Makamu Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma kujihusisha mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4

    Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Singida, Manispaa ya Singida, Thomas Ngiracha, amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne (jina tunalihifadhi) wa shule hiyo. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph Shani na Mkurugenzi wa Shule, Matliga...
  9. JamiiForums Tanzania India: Ofisi za Vivo zapekuliwa kufuatia tuhuma za utakatishaji fedha

    Inaripotiwa kuwa, Maafisa wamevamia na kupekua Ofisi kadhaa za Kampuni ya Kielektroniki ya Vivo kutoka China kufuatia shutuma za utakatishaji Fedha. Mapema mwaka huu, upekuzi wa aina hiyo pia ulifanywa kwa Xiaomi na Huawei Vivo imejijengea jina kubwa Nchini India, ikielezwa imeajiri Wahindi...
  10. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo fuatilia tuhuma hizi za CCM kata ya Wazo mkoani Dar es Salaam

    Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni. Wanaotuhumiwa kushirikiana kufanya ufisadi huo ni pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Bwana James Mgego na viongozi wa...
  11. JamiiForums Tanzania TOC ya Filbert BAYI na TANDAU Yakalia Kuti Kavu, Washindwa kujibu Tuhuma za Ufisadi

    RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 IKIWA ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutangaza kuitisha mkutano mkubwa wa waandishi wa habari kujibu tuhuma za ufisadi ambazo zimekuwa zikielekezwa zaidi kwa Katibu Mkuu, Filbert Bayi, kamati hiyo imeshindwa kutekeleza azma...
  12. JamiiForums Tanzania Benjamin Mendy akabiliwa na tuhuma mpya za ubakaji

    Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy (27) sasa anashtakiwa kwa makosa nane ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na moja la kujaribu kubaka baada ya mwathiriwa mpya kujitokeza Mnamo mwezi uliopita Mendy alikana mashtaka yote isipokuwa shtaka la hivi la hivi karibuni la...
  13. JamiiForums Tanzania Tuangazie tuhuma walizoelekezewa Azam TV na utetezi wao

    Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Madiwani wamsimamisha kazi Mganga Mkuu kwa tuhuma za wizi wa mafuta

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dustan Mshana kwa tuhuma ya wizi wa mafuta lita 100, kununua kumpyuta chakavu pamoja na kutosimamia vizuri idara yake hiyo. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Rachael Nyangasi, alisema...
  15. JamiiForums Tanzania Maofisa watano wa TMDA waliokuwa na tuhuma ya kuhujumu uchumi waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge, waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la kuisababishia hasara Mamlaka hiyo ya...
  16. JamiiForums Tanzania SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  17. JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  18. JamiiForums Tanzania Muandaaji wa Miss Rwanda akamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono. Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022. Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...
  19. JamiiForums Tanzania Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

    Kura 18 zimemkataa. Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi. Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti. Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
  20. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mbaroni kwa tuhuma kumnajisi mtoto wake wa kambo

    Mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga (26) (jina limehifadhiwa), anashikiliwa naJeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wake wa kambo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11. Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Shinyanga, George Kyando akitoa taarifa kwa vyombo vya habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…