Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo anakubali.
Nampa moyo dogo kuwa atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana...