Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,517
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?
Hii kampuni inaenda shimoni wallah
Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?