tra

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mawakala wa mashine za TRA hawatoi risiti wakati wenyewe wana-solve ishu ya risiti?

    Habarini wakuu. Natumaini mko poa sana, narudi kwenye hoja yangu. Hivi kwanini haya makampuni yanayo dili na kurekebisha mashine zile za EFD wenyewe sio watoa risiti? Nashangaa maana tunawapelekea mashine zikizingua wazirekebishe lakini sasa balaa linakuja unaambiwa lipia huduma ukilipa...
  2. JamiiForums Tanzania TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    Wale walioko kwenye sekta za usafirishaji, uchimbaji wa malighafi ujenzi na ujenzi kwa ujumla watakuwa wamegundua kuwepo kwa uhaba wa ghafla wa mchanga unaotumika kujengea hivi Karibuni maeneo ya Dar na sehemu jirani. Kwa kipindi cha kama wiki moja hivi, TRA Pwani imekuwa ikikamata magari yote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni TRA kwa kurekebisha mfumo huu kwa wakati

    Habari wanaJamii, Napenda kuchukua fursa hii kwashukuru tra kwa jinsi walivoshuhulikia issue ya tansis jana, maana niliandika hapa ila kuna mtu alinibeza sana nadhani hajui maan aya hii forum. System imerudi jana saa 3 na malipo yamesoma na leo tunatoa mizigo. hHngereni kwa kutatua tatizo kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tawi la NMB lililopo Makao Makuu ya TRA Mwanza wana huduma mbovu sana

    Leo nilitakiwa nipate huduma katika Tawi hilo kwa kulipia mapato ya TRA lakini nilipofika pale sikuamini macho yangu. Tawi lile lina madirisha matano ya kutolea huduma lakini ni dirisha moja tu ndilo lililokuwa na mtumishi wao anayetoa huduma. Wateja tulikuwa zaidi ya 200 na wengi wa wateja...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini

    TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini, tangu juzi hakuna system benki tumeshindwa lipa mpaka jana ndo imekubali, sasa leo hatujapata hata CRO malipo hayaonekani na tunataka kutoa mizigo tunafanyaje?
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    Hello wana JF, Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA. Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia? Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Wataalamu wa Kodi na mambo ya Biashara au TRA

    Wadau sana, habari zenu? Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi hunikata 5% ya malipo yangu je hii iko sawa? 2. Je, natakiwa kuwa na leseni ya biashara mimi kama mimi...
  8. JamiiForums Tanzania TRA na Kodi ya Majengo (Property Tax) naombeni ufafanuzi katika hili

    Wadau habari za asubuhi, Kwa wataalamu wa kodi (Tax Consultants) ama watumishi wa TRA, kama nina nyumba eneo halijapimwa na mimi binafsi sina Tax Identification Number (TIN) nawezaje kulipa kodi ya majengo? Asanteni
  9. JamiiForums Tanzania TRA defeats GGM in 3 billion tax battle

    TRA defeats GGM in 3bn/- tax battle THE Court of Appeal has ordered the Gold Mining Company, Geita Gold Mine (GGM) Limited, to pay about 3bn/- to the Tanzania Revenue Authority (TRA) as withholding tax for various transactions made to third parties. Justices Stella Mugasha, Gerald Ndika and...
  10. JamiiForums Tanzania TRA yawaelimisha wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam kuhusu kodi ya zuio

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi kuwaruhusu wapangaji wao kuzuia kodi hiyo ambayo ni asilimia 10 ya kiasi cha malipo walichokubaliana katika mkataba wa...
  11. JamiiForums Tanzania TCCIA Manyara watoa ushauri TRA kufuatia Malalamiko ya wafanyabiashara

    Baadhi ya wafanyabiashara mjini Babati mkoa wa Manyara wakitoa maoni yao juu ya utendaji wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani hapo,wameonyesha kutoridhishwa na namna wanavyohudumiwa. Wakizungumza na kituo hiki bila kutaja majin yao, wamesema kuwa baadhi ya watumishi katika mamlaka hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wafanyakazi wengi wa TRA siku hizi hasa wale wa vitengo muhimu vya ukusanyaji mapato wamekuwa waoga na hawajiamini mitaani?

    Kwa baadhi niliokutana nao ( ambao nakiri hapa ) wazi wazi kuwa ni Marafiki zangu wazuri na wakubwa tu ila tokea Awamu hii ya Tano iingie Madarakani wengi Wao wamekuwa ni Waoga Waoga Kimuonekano na hata Hawajiamini tena huku hata mkiwa mmekaa nao tu mahala muda mwingi wanakuwa ni Watu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

    Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali. Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa? Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao? Tatu Riba ambayo iko kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ukokotoaji wa ushuru wa gari TRA

    Habari wandugu! Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age). Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mnaua biashara na mzunguko pia wa pesa

    Ndugu zangu TRA mimi naomba niwaambie ukweli mnauwa biashara siwafichi nasema ukweli ukweli mtupu. Mnauwa biashara na mnaenda kuuwa secta ya fedha kabisa. Hivi mnajuwa watu wanatoa pesa bank na hawataki kusikia akaunti? Hivi mnajuwa hizi estimate mnawapa watu zinawafanya kufunga biashara na...
  16. JamiiForums Tanzania TRA yatoa maelekezo jinsi ya kujilinda na COVID-19 wakati wa kupata huduma

  17. JamiiForums Tanzania Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne

    Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne ==== Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikipitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka mitano, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema imeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji mapato kwa kipindi hicho...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
  19. JamiiForums Tanzania TRA yabambikia makampuni kesi za Uhujumu uchumi, kupitia risiti zenye makosa miaka 10 na zaidi iliyopita

    Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka return zenye risiti ambazo mashine zake VAT haitambuliki, hapa nilijiuliza maswali ya msingi; 1. Je...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…