Hongereni TRA kwa kurekebisha mfumo huu kwa wakati

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
51
125
Habari wanaJamii,

Napenda kuchukua fursa hii kwashukuru tra kwa jinsi walivoshuhulikia issue ya tansis jana, maana niliandika hapa ila kuna mtu alinibeza sana nadhani hajui maan aya hii forum. System imerudi jana saa 3 na malipo yamesoma na leo tunatoa mizigo.

hHngereni kwa kutatua tatizo kwa wakati, sasa mjitahidi kutatua kero hizi kwa muda muafaka sio mpaka tuandike jamii, haileti picha nzuri.

Pia soma >Kulikoni TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom