Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Kama nilivyosema hapo awali Mama, mimi kama Mtanzania niliyekuwa nimejitoa kumuunga mkono Magufuli kutokana na Sera na ufedhuli wa Awamu ya Tano na ambaye sasa baada ya kuona uelekeo wako mzuri, nimeamua kukuunga mkono, leo hii napenda...