Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi.
Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number kwa kutumia gharama nyingi na kupoteza muda wake wa kazi.
Mfanyabiashara anaweza kukadiriwa kiasi cha Kodi lakini akajikuta anagharamia fedha nyingi kulipa Kodi hiyo. Mfano;
Kodi ni Tsh. 100000 lakini unatakiwa kwenda ofisi za TRA mara nne, gharama za usafiri ni kubwa. Kuna baadhi wanalipa mpaka 30000 go and return + chakula + muda unaopotea, 30000*4 ni 120000, hivyo mfanyabiashara anakuwa ametumia 120000 kwenda kulipa 100000.
Jambo hili halikubaliki kiuchumi, cha msingi utafutwe mfumo bora wa kuwasaidia wafanyabiashara kutotumia gharama nyingi kwenda kulipa Kodi, hii inawaumiza sana wafanyabiashara kwani wanatumia gharama nyingi sana.
TRA mbuni rafiki na sio kuwaumiza watu.