tra

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TRA

    Vijana hizi hapa nafasi za kazi.
  2. JamiiForums Tanzania TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

    Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu. Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
  3. JamiiForums Tanzania TRA wagoma kufungua ofisi Vingunguti

    TRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

    Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
  6. W

    JamiiForums Tanzania TRA ondoeni Kodi ya Pango kwa mfanyabiashara

    Haiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi nikamdai mwenye fremu. Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe? Inaumiza...
  7. JamiiForums Tanzania Nani kawakimbiza wafanyabiashara wa nchi jirani kariakoo? TRA au wafanyabiashara wenyewe wa kariakoo kwa ulaghai?

    Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji. Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua kariakoo yao. TRA hawawezi kuhangaika na aliyelipa Kodi halali, wanashughulika na wakwepa Kodi...
  8. JamiiForums Tanzania Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali isipochukua hatua kali kwa Wafanyakazi wa TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa, wafanyabiashara wataathirika milele

    Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri. Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania CIF ya gari vs calculator ya TRA

    Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI. CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka? Ipi I atakuwa iwe kubwa? Cif ya gari au TRA culculator?
  11. JamiiForums Tanzania Kilichobaki sasa kila mtu apambane aidha yeye au watoto wake wakaajiriwe TRA.

    Hi! Kama umri unatosha unaweza ukajipanga issue za kupata elimu (makaratasi) ya kukuwezesha kuajiriwa TRA au ofisi zingine nyeti nyeti ndani ya serikali tukufu ya JMT ill ukajenge nchi. Ukishindwa wewe basi weka juhudi kwa watoto wako wakajenge nchi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi. Chukua hatua za haraka

    Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo: (1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  14. JamiiForums Tanzania KERO KUU ZA BIASHARA TANZANIA: Wageni kufanyabiashara sawa na wazawa, Polisi kugeuka maafisa Kodi, TRA kushindwa kutengeneza mazingira halisi ya Kodi

    Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo. 1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
  15. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  16. JamiiForums Tanzania TRA matopeni, watuhumiwa kukithiri kwa rushwa soko la Kariakoo

    Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara. Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
  17. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TRA nanyi fungueni maduka Kariakoo mlipe kodi hizi

    WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote, 1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini. 2. Kodi ya mapato...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika maeneo muhimu na ya kimkakati ya biashara yawe chini ya udhibiti wa Serikali. Ya Kariakoo yanaweza kujirudia kwingineko.

    Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
  19. D

    JamiiForums Tanzania TRA wapo sahihi kabisa kupuuza maagizo hewa ya wanasiasa! Serikali inafanya kazi kwa maandishi

    Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu! Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu! Wahenga waliwahi kusema "government work on paper " Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini. Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k.. Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…