tra

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya gani TRA wakifungua biashara Kariakoo kwa muda wa mwaka mmoja ili kujua namna ya kuboresha sera za kikodi?

    Binafsi naamini ni ngumu kwa TRA kuelewa hali halisi inayolalamikiwa bila kufungua duka la majaribio Kariakoo. Walipe Kodi zote stahiki, na wasiuze chochote bila kutoa risiti, watoe risiti na wadai risiti kila wanaponunua. Wasijipe upendeleo wa aina yeyote na wasitoe rushwa, halafu tuone kama...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

    Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo: Tunataka kugoma kwa Sababu ya TRA haitaki kutuelewa

    Mwenyekiti wa Wafanyabishara Kariakoo anasema chanzo cha mgomo wao ni TRA kurudisha enforcement. Malalamiko yao makubwa ni kwamba TRA inawaonea kwa sababu inawadai VAT na waziri mkuu aliagiza TRA iwasikilize. Nachokiona ni kwamba wafanyabishara hawataki kabisa kulipa kodi nchi hii. Hii nchi...
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe yaliyotengenezwa kumngo'a mkuu wa TRA Kidata

    Jana zilisambaa taarifa kwamba wafanyabaishara wa soko la Kariakoo wataanza mgomo usio na kikomo kuanzia Jumatatu Juni 24. Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe yaliyotengenezwa pia Kuna Waziri Mwandamizi anahusishwa katika mgomo huo kutokana na kile...
  5. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania TRA kuvunja rekodi dhidi vifo vya biashara na viwanda,tujitafakari na kujirekebisha

    Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Rungu la TRA limepita na wengi mtaani kwetu

    Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Shida nini? Watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
  7. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi tarehe 15 na 16 Juni,2024

    Ofizi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) zitakuwa wazi siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni,2024 na Jumapili tarehe 16, Juni 2024.
  8. Chongeni

    JamiiForums Tanzania Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli?

    Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa. Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni. Thank you
  9. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kulipa kodi (VAT) kisa sijapanga fremu

    Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu. Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi Juni 8 na 9, 2024 nchi nzima

    Dar es Salaam, 07 Juni, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 08 Juni, 2024 na Jumapili tarehe 09 Juni, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao? Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
  13. Candela

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wadau wa tra

    Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD. Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe TRA hawatungi Sheria za Kodi

    Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa. PIA SOMA - Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

    Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
  17. Rumanyika Donatus

    JamiiForums Tanzania KERO TRA geti la Makuyuni Arusha ni tatizo, madereva wa malori tunapata tabu

    Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine. Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida...
  18. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA inawakumbusha walipa kodi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria

  19. Candela

    JamiiForums Tanzania KERO TRA wananitumia meseji nikafanyiwe makadirio wakati hatukufikia makubaliano

    Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila walisapoti wakawa wanasimamia show zangu. Wanasema cha mtu mavi, ukitaka ubaya kabidhi ndugu mali...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
Back
Top Bottom