tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zambia nao wafikiwa na tozo kwenye miamala ya simu

    Naona ishu ya tozo imeigwa na majirani zetu. Nao kuanzia 1/1/2024 wameanza kulipa tozo kwenye miamala ya mitandao ya simu. Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanalipa kiasi kidogo sana ambacho ni kama hakuna kitu. Kwa mfano ukifanya muamala wa kwacha 10000 (kama Tsh 1m) tozo ni K1.5 (kama Tsh...
  2. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania (TAWA) yasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa kwa mamba aliyewindwa na kuuawa ziwa Rukwa

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha tozo kwa wote badala ya bima kwa wote

    Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji safi, matuzi ya Kuni, nyumba duni na bidhaa zisizo na ubora. Huwezi kuwekea mtu bima ambae unajua...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi tozo kwenye miamala ya simu ziliondolewa au zilipunguzwa?

    Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi; "...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka ....., jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).
  8. JamiiForums Tanzania Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna aliyeona faida ya tozo?

    Kipindi Samia anaweka tozo alikuja na ahadi lukuki ya kuendeleza miundombinu ya elimu na maji kupitia makusanyo ya tozo. Nilikwenda mikoa ya kusini kuzungukia shule za msingi za vijijini, kisha nikaenda Morogoro DC kuzungukia shule za msingi na sasa niko Tabora. Nilichokiona ni vitukuto. Hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  12. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Bandari ikiongeza mapato, Tozo zitaisha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amesema Bandari ya Dar es salaam haiuzwi na wala haibinafshwi na kwamba maamuzi ya Serikali kuhusu DP World kuendesha Bandari hiyo ni mkakati wa kupanua wigo wa vyanzo vya mapato ili kuondoa...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu tozo za miamala ya simu

  14. JamiiForums Tanzania Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania laipongeza Serikali kwa kuondoa tozo ya kutuma miamala ya fedha kidijitali

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali. Kuondolewa kwa too hil...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wafanyabiashara wanakerwa usumbufu wa taasisi za umma. Kisa kodi na tozo

    WAFANYABIASHARA WANAKERWA USUMBUFU WA TAASISI ZA UMMA. KISA KODI NA TOZO. Wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza wafanyabiashara wa Kariakoo, Mwezi Mei 2023 Mkoani dar es salaam, Kulikuwa na Malalamiko Mengi kuhusu Utozaji, Ukusanyaji na Aina za Kodi, tozo au Ushuru. Katika Maelezo...
  16. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Muhimbili waanza kulipisha tozo ya kuegesha magari, utaratibu utakuwa kwenye majaribio kwa wiki mbili

    Majaribio ya utaratibu mpya wa maegesho ya kulipia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili yameanza wiki hii, ikiwa ni jitihada za kupunguza msongamano wa magari. Akizungumzia utaratibu huo, Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Mohammed Janabi alisema majaribio yatadumu kwa wiki mbili...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imefuta Tozo Kwa muamala ya kutuma na sio miamala ya kutoa kama wanavyojinasibu

    Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo Ila ukienda Kwa Wakala au Benki kutoa pesa utakatwa Tozo Mfano nimeambatisha makato ya mtu anaetoa 70k Kwa Wakala...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

    Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Injinia Kundo Mathew amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Wizara hiyo chini ya Waziri Nape Moses Nnauye la kufuta tozo katika miamala ya simu. Naibu Waziri Kundo ameyasema haya leo July 04, 2023 akiwa katika ziara...
  20. JamiiForums Tanzania Laaana za Mzalendo wa Kweli zinavyoitesa Nchi na Serikali ya Bi tozo

    Hi Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato. Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…