Zambia nao wafikiwa na tozo kwenye miamala ya simu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,239
22,318
Naona ishu ya tozo imeigwa na majirani zetu. Nao kuanzia 1/1/2024 wameanza kulipa tozo kwenye miamala ya mitandao ya simu. Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanalipa kiasi kidogo sana ambacho ni kama hakuna kitu.

Kwa mfano ukifanya muamala wa kwacha 10000 (kama Tsh 1m) tozo ni K1.5 (kama Tsh 150).

Nini maoni yako?

FB_IMG_1704719718189.jpg
 
Back
Top Bottom