tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitachopita juu ya daraja la Magufuli

    Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole. Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni. Nawasilisha.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara wa Mkata - Handeni hatupingi kulipa kodi, tunapinga kunyanyaswa, kudhalilishwa na kukamuliwa kwa namna isiyo ya haki

    MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zimbabwe ameidhinisha sheria tata ya ulazima wa tozo ya redio kwa madereva wa magari

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameidhinisha sheria mpya inayowalazimisha madereva wa magari kulipa tozo ya redio kabla ya kuweza kusajili au kupewa bima ya magari yao – hatua ambayo baadhi ya watu wameielezea kuwa kandamizi. Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Utangazaji ya nchi hiyo ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Ondoeni Tozo ya Mionzi kwa Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani inawaumiza sana wanunuzi ambayo inasababisha wakulima kupunguziwa bei ya kuuza zao hilo. Pia...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Daladala Makumbusho ipo kwenye hali mbaya, inazidi kuchoka, Ushuru unatozwa lakini hakuna ukarabati

    Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo iliyokuwanao awali, ambapo kwa sasa imechakaa na imekuwa kero kwetu madeleva wa daladala. Licha ya daladala...
  7. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI KWAMBA DARAJA LA KIGONGO -BUSISI LITAKAPOANZA KUTUMIKA KUWEPO NA TOZO

    Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania CAG: Tsh 1.14 Trilioni Zilizokusanywa Na TRA hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa. Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pesa za COVID pamoja na pesa ya Tozo zimekata. Hali iko hivi hadi sasa kwenye madarasa

  11. E

    JamiiForums Tanzania Je mtu akifa, tozo za kodi endelevu kama za ardhi, zinasimama ?

    Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7. Nani alipe ? Kwanini ?
  12. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tozo za ushuru wa Uchafu, Halmashauri ya Mji Bariadi - Simiyu hatuzielewi, tunaibiwa? Tunaomba ziwekwe wazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini. Hivi Karibuni uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ulileta mzabuni mpya wa kukusanya taka...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii walia na tozo wanazotoa ku-shoot kwenye vivutio vya taifa

    Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya kimya kimya ya kununua umeme (LUKU) kupitia mitandao ya simu

    Uzi uwe mfipi kabisa. Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya. Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100. Umeme wa elf 1 unakatwa...
  17. Herbalist Mtaturu

    JamiiForums Tanzania Jamani hii nchi mbona kodi na tozo zimezidi mno?

    Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa. Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde na Waziri Mchengerwa Kukutana Kushughulikia Tozo za Halmashauri Kwenye Madini

    WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI -Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro -Waziri Mavunde awapongeza Morogoro kuvuka lengo la makusanyo ya maduhuli -Serikali kuongeza nguvu ya Utafiti...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini yatoa elimu ya Usimamizi /udhibiti wa Sekta ya Madini na ukusanyaji wa Tozo

    Tume ya Madini, leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma Elimu imetolewa katika maeneo ya usimamizi/udhibiti wa Sekta ya Madini na ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa serikali ya Tanzania wapambana na kupunguza tozo toka USD 109M hadi 90M

    In a dramatic turn of events, Tanzania has struck a $90 million settlement with Australian-based Indiana Resources Limited over the contentious expropriation of the Ntaka Hill Nickel Project in Lindi. This high-stakes resolution comes after a prolonged legal battle stemming from Tanzania's...
Back
Top Bottom