Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.
Unakaa na kutumia elimu ya PhD kuweka Kodi kwenye matangazo ya akina Juma Lokole! Mtu anapost kutangaza Shanga na Chupi halafu eti naye unamfikiria kama Chanzo cha Mapato!
Tumechoshwa na watu wanaokaa ofisini na kufanya kazi kwa mazowea. Kwanza ilipawa tuelezwe ni kigezo gani kitatumika kumpima...
Kwa bajeti ambayo imetoka kwenye Trilioni 41 kwenda kwenye Trilioni 44 na imeelekeza pesa kwenye matumizi ya kawaida haipeleki meseji kwamba inaweza kuwa ni kubana matumizi, tunabana matumizi kama sehemu ya kudhibiti uchumi, kupunguza mgandamizo wa fedha.
Kwa nature ya bajeti yetu unaona kwamba...
Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291?
Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo.
Unajinasibu nini?
Habari wanaJF
Naomba kuuliza, hizi fedha za tozo wanazokata serikali kwenye miamala yetu ya simu huwa zinafanya kazi gani? Ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo au matumizi ya kawaida, naomba kujua maana naona kimya tu?
NA BADO KUNA KODI YA STOO
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa Jijini Dodoma leo ameshiriki hafla ya utiaji saini mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya simu katika Kata 763 nchini na miongoni mwa aliyoyasema ni kuhusu Watoa huduma za mitandao ya simu kudai tozo wanazowekewa ni kubwa hasa kwenye mamlaka...
MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI
Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani...
-majumbani mapilau yametawala
-watoto wamewaka kwa mavazi mapya
-kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi.
-wanawake walivaa
-shows za wanamuziki kama zote
-kumbi...
Inavyo onekana mitandao ya simu haiko Regulated kumaintain balnce of fairness kati yake na mlaji pamoja na a mawakala (Agent)
Hivi siku za karibuni ukianzia Dec 2022, Mitandao ya simu imekua ikiongeza tozo(charges) kwenye kulipia huduma kwanjia ya simu
Kwa mfano kulipia Bidhaa yenye thamani ya...
Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya...
Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG.
Naona Tozo sasa ni sawa na Kunguru wa Zanzibar.
Ramadan kareem!
Habari wakuu wa JF,
Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
Hivi jamani hii Serikali ya "Anayeupiga mwingi" haitambui kuwa wananchi wanateseka na hali mbaya ya maisha? mbona hatuoni juhudi za makusudi za kuwapunguzia mzigo mzito wa maisha ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama chakula na vifaa vya ujenzi?
Badala ya kuwapunguzia wananchi...
Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna.
Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3
Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa.
Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe.
========
Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma
Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
Hofu Imetoweka
Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni.
Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi!
Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.