tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hili ni punguzo la tozo za mafuta au ni kiini macho?

    Taarifa ya EWURA iliyopandisha bei ya mafuta kwa kiasi cha Shilingi 12 kwa lita eti inatufahamisha kuwa kuna punguzo la tozo katika bidhaa za mafuta! Ninajiuliza sasa kama kweli tozo zimepunguzwa si ina maana bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi cha Shilingi 12 zilizotajwa? Ninajiuliza sasa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini. Uamuzi huo ulifikiwa leo, tarehe 5 Oktoba 2021, baada ya Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
  4. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Katika hili la tozo, Sioni hatia yoyote juu Rais wetu, Samia Suluhu Hassan

    Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na Zaidi ya yote wananchi tumetwishwa Msalaba mkubwa wa Kulipia kodi kila huduma tunayoifanya hasa katika...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo)

    SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs). Na Galila Wabanhu. Kwanza watanzania tutambue kuwa, Maendeleo endelevu ni mkakati wa kuboresha hali ya maisha wakati wa kuhifadhi...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  7. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia mbadala ya Tozo ya Miamala ya Simu

    LUCAS MESHACK Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Tozo zisizo na msingi zifutwe

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameagiza kufutwa kwa tozo zote zisizo na msingi. Mh Majaliwa ametoa agizo hilo akiwa mkoani Kagera. Chanzo: ITV habari
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

    Wakuu Kwema!!! Tutozane. Tukamuane, Tuzinguane, Tuchapane, Tuchanane, Lakini tusiuane. Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani. Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi haina ulazima kwa Tanzania, ndio sababu ya kuwakaba raia wa chini kwa tozo

    Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
  11. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mitandao ya simu itumie Mifumo ya Tozo kwa hiari kwa wateja wake kuwainua kimaisha

    Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali. Tunajua kwamba, vijana wengi...
  12. Mbasa matinde

    JamiiForums Tanzania SoC01 Muelekeo wa Uchumi na Tozo (Uchumi Kipofu)

    Muelekeo wa uchumi na tozo (uchumi kipofu) Ebu tukae tulizungumze hili kwanza, Kinachoendelea Julai 1, 2021 serikali ilitangaza ongezeko la shilingi mia kwa kila lita moja ya mafuta. julai 15, 2021 serikali ilianza rasmi ukatwaji wa kodi kwa watumiaji wa huduma za kifedha kwa njia ya simu...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo; Tozo ni bomu linalosubiri muda

  15. evangelical

    JamiiForums Tanzania Tazama gharama za ukarabati wa nyumba

    Kama attachment inavyojieleza Halmashauri nazo zinakuja na tozo zao mbalimbali
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini tozo za miamala zisitumike kuajiri walimu?

    Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha. Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiwe wanafiki, Tozo ni muhimu kwa upana wake

    Unafiki unatumaliza Watanzania. Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi. Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo kila kona, Serikali imesitisha mradi wa Barabara ya Kimara-Kibaha?

    Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

    Habari wakuu, Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda kwa Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi...
  20. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa tozo za maegesho ya gari

    Utaratibu huu mpya hasa jiji la Dar es salaam kuhusu tozo za maegesho ya gari wahusika wautizame upya.Sipingi kuhusu toz hii bali utaratibu siyo mzuri na unaleta urasimu au usumbufu kwa watumiaji wa magari pale wanapoegesha. Sasa hivi ukiegesha gari waliopewa jukumu kusimamia wana scan na...
Back
Top Bottom