Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.
Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao.
Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO.
Mwigulu Ayaone haya:
1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake!
2. Wawili wamependana...
Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge.
Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge...
Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini.
Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu...
Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda.
================
No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges).
The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais.
Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta haipo tena. Hili...
Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana).
Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini.
Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
Habari za Muda huu wana Jfs.
Ni muda sasa wa takribani mwezi kumekuwa na introduction ya kile kinachoitwa tozo ambapo kwa mujibu wa Mh Rais Samia kupitia Waziri Wake Dr Mwigulu nchemba na wabunge wake wanadai ni kwa ajili ya solidarity funds ili kusaidia miradi mbali mbali ya kijamii kama...
Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza.
Ni kweli...
Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia.
Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu.
Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo...
Na nimeelewa sasa kuwa
1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo.
2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.