tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huenda Mwigulu anakomaa kutete tozo ili Singida Big Stars iwe vizuri kimapato

    Hii Singida big stars ina mkono wa mtu anayelazimisha tozo haramu kwa nguvu. Huenda ni janja yake ili anunue wachezaji wa kibrazili timu nzima.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tozo ni matokeo ya malalamiko yetu

    Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi? Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na mafuta ya petroli. Kwa bahati sasa hivi vitu vile vilivyozoeleka vingi havijaguswa na vingine...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashungwa hayati JPM alijenga vituo vya afya 1000 bila tozo. Acha kuzebeza wananchi

    Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza 👇 === Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Ajabu sana, Waziri anakiri watanzania ni masikini halafu bado anaweka tozo

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema. “Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena...
  6. Mbaga Lazaro

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tozo zimejenga vituo vya afya 234

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake. Bashungwa ameyasema hayo leo Septemba Mosi wakati...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Presss ya Mawaziri leo, wanamaanisha nchi inajengwa na tozo tu?

    Kwanza wamefanya press kwa kukurupuka tu. Hatujaelewa jambo lolote. Pili, wamepunguza kodi ya madini toka 6% hadi 3%. Wakatutwisha mizigo hadi kwenye tumishahara ambato tusharipia kodi. Huu ni wizi na kukosa usimamizi wa rasilimali. Kwa nini sasa tozo zinafanya kazi kubwa kuliko hata PAYE...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tozo sijaelewa zaidi ya kumung'unya maneno

    Salama wandugu Nimemsikiliza Mwigulu akijieleza kuhusu tozo hakuna cha maana anachoeleza zaidi ya kumung'unya maneno tulishasema ondoeni tozo siyo kuilemba lemba na kuipaka wanja ionekane kama asali wakati ni pilipili,kodi zilizopo zinatosha kuendesha nchi ila nyie mnacheka na wafanyabiashara...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tozo imekuwa mwarobaini wa matatizo sugu

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa baadhi ya sekta muhimu nchini mfano ile ya afya isingeweza kupitia mabadiliko makubwa kama yaliyopo sasa kama tozo sizingekuwepo. Ametolea mfano wa ujenzi wa vituo vipya vya afya 234 ambayo vimekamilishwa kupitia tozo ya miamala ya simu...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumepokea maoni ya tozo, tunashughulikia

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo. Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato mara mbili kwenye miamala ya simu wakati wa kutuma na kutoa. Kupitia mkutano wake na waandishi wa...
  12. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tozo zina machungu, lakini lazima tuendelee nazo

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kiasi kikubwa cha pesa zinazokusanywa kwenye tozo zinarudi kwa wananchi wenyewe kupitia shughuli za uzalishaji mali. Ametolea mfano wa fedha zinazotolewa kwenye kilimo na wamachinga, pia amesisitiza kuwa pamoja na machungu ya tozo hizi, ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  14. N

    JamiiForums Tanzania Na mimi nimegundua upenyo wa tozo kwenye vibao vya mitaa/makazi

    Mapendekezo yangu; 1. Yule mtu (binafsi) ambaye jina lake limebahatika kuchukua jina la mtaa, alipe 50,000/= kama ni kiongozi (DED, DC, RC n.k), kama ni mtumishi wa kawaida wa umma alipe 20,000/= na kama NI mwananchi wa kawaida alipe 10,000/=. Jina lako kutumika na serikali ni heshima...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Tozo na Kodi ni nini?

    Ninaelewa kuwa Kodi ni malipo yasiyo ya hiari ambayo raia analipa serikalini kutokana ama na mapato au kutokana na mali anayomiliki. Kuna Kodi ya Ardhi, Kodi ya Mapato, Kodi ya Gari na kadhali. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuja neno jipya linalotwa Tozo, ambayo nayo ni malipo yasiyo ya...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Nia nzuri ya tozo isipotoshwe na watendaji!

    Kwa namna yoyote ni lazima tulipe kodi au tozo ili tusimame kama nchi inayojitegemea. Wahuni wameharibu maana nzima ya tozo au kodi kiasi cha kuzua taharuki nchini.yaani watendaji wetu wamefanya kusudi katika implimentation ya namna ya kulipisha kodi kwa kila Mtanzania. HOJA MUHIMU 1-Kila...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili. Hizi hapa nukuu za Mbowe... “Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
  20. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaomba Serikali iangalie kilio cha tozo zilizopitishwa na Bunge, tuanze kupiga kelele na makato yanayotozwa na Makapuni ya Simu

    Watu wengi wamekuwa wakichukua gharama zote za kutuma au kutoa fedha kwenye miamala ya simu kama ndio tozo. Ukweli ni kwamba makampuni ya simu yamekuwa yakitoza ada kubwa saana kwenye kutoa au kutuma fedha. Kwa mfano kuna baadhi ya kampuni ukituma fedha kiasi cha shilingi 5,000/= jumla ya...
Back
Top Bottom