tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. themagnificient

    JamiiForums Tanzania Nimeanza process ya kukomba pesa zangu Bank, Tozo hizi hapana!

    Nilijisajili kwenye benki kama Tatu hivi nikawa naweka akiba zangu na Benki ndio ilikuwa kimbilio la mwisho ila napo wamevamia, juzi kukaa tu kuchek bank statement nikakuta NMB wamenilima Tozo ya maana yaani pesa ambayo sikutarajia kabisa kukatwa maana kwenye miamala ya sim tayari nishakatwa...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Bujiku: Vodacom tumepoteza 30% ya mapato kutokana na Tozo

    Kaimu mkurugenzi wa Vodacom, Hilda Bujiku amesema tozo za miamala ya simu ilivyoanza walipoteza asilimia 30 ya mapato ya kampuni ila wanategemea miamala itarudi. Hilda amesema kuna watu wameacha kutumia huduma ya kutuma pesa kupitia mitandao ya simu na wapo waliopunguza idadi ya miamala...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mawakili wanena kuhusu Mfanyakazi wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kupinga tozo

    Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria. Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

  5. bahati93

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mwigullu Nchemba hii hapa

    Hatimae nahisi nimetegua Kitendawili cha Tozo! Maumivu ni makubwa hasa kwa wale ambao ndio Kwanza wanaanza maisha achana na vizazi vilivyotangulia. Lakini kwa nini hali iwe hivi? Kwa nini kipindi hichi? Je, ni mpaka lini? Jibu ni hili hapa. Kabda ya kulaumu tutulize jazba na tujiulize nani...
  6. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  7. The seer

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni tozo kwenye vifaa vya upako

    SERIKALI WEKENI TOZO KWENYE VIFAA VYA UPAKO Napenda kuishauri serikali kupitia mamlaka ya mapato tanzania kuweka tozo kwenye biashara ya vifaa vya upako inayofanyika kwenye makanisa baadhi ya kilokole,siku za karibuni kumezuka biashara yenye kuingiza mabilioni ya pesa inayofanywa na baadhi ya...
  8. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanaibiwa TAMISEMI, hazina, magari 2022 models bado mnadai tozo zina faida kwa raia

    Ukweli ni kwamba pamoja na kwamba mnatawala maiti na ma dunderheads makondoo grade A duniani ila mna roho mbaya nyie ni SADDISTS kama wale kwenye movies ambao huwa wanamuuua mtu kifo cha taratibu na victim anapopiga kelele kwa maumivu basi huwa ni furaha kubwa sana ya mtesaji Kama vile paka...
  11. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Fedha za tozo zawapa faida Lindi

    Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za miamala ya simu kikiwa na thamani ya Sh250 milioni. Kabla kituo hicho hakijajengwa wananchi walilazimika kwenda kufuata huduma za afya katika...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na Tozo

    Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo yanavyotumika. Hii ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA ambalo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

    Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea. Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba. Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe? "Mtaji wa...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  15. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Tozo zimechukua nafasi ya upinzani

    𝕋𝕆ℤ𝕆 ℕ𝔻𝕀𝕆 ℕ𝕁𝕀𝔸 ℙ𝔼𝕂𝔼𝔼 𝕐𝔸 𝕂𝕌ℤ𝕀𝔹𝔸 𝔾𝔸ℙ𝔼 𝕃𝔸 𝕋𝔸𝕊𝕂 𝔽𝕆ℝℂ𝔼 ℤ𝔸 𝕁ℙ𝕄? 𝙽𝚊 𝚃𝚑𝚊𝚍𝚎𝚒 𝙾𝚕𝚎 𝙼𝚞𝚜𝚑𝚒. Ukiniambia niishauri Serikali yangu kuhusu Tozo nitawashauri kwa haraka kama ifuatavyo. Rais Samia Sio muumini wa task Force kama zile za Magufuli za kupambana na matajiri pamoja na wafamya Biashara kwenye...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Je, kelele za Tozo za Benki zitazima mapema kama kelele za Tozo za miamala?

    Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu. Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
  17. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika. Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
  18. Wand

    JamiiForums Tanzania SI KWELI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

    Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Karatasi zapanda bei mara mbili, vitu vinafumuka mtaani wako bize kuchapa tozo na kununua magari

    Katika kitu ambacho serikali ya awamu ya sita imejaliwa ni KUTOKUWA NA HURUMA NA MZIGO MKUBWA WA GHARAMA ZA MAISHA wanachojali wao ni kupiga matozo kila kona wapate kununua MA VX 2022 MODELS ikifika 2023 wanunue tena 2023 models. Damn! Vitu vinapanda mnoooo hata visivyo na uhusiano na vita vya...
  20. blogger

    JamiiForums Tanzania Kuchukua pesa za watu benki si kitu cha kawaida, Inawezekana nchi imefilisika!

    Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita. Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni...
Back
Top Bottom