tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 ZamaMpya TV (DarMpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM na tozo ni ile ya "tema tumpige" ya mama na mwana

    Watoto wadogo wanapolia kwa kuchokozwa na mtu mzima au hata kwa kuchomwa sindano, ili kumnyamazisha asilie mzazi atamuuliza mtoto swali la kizushi la "nani mchokozi?". Mtoto atasema yule pale, na mzazi atamwambie tema tumpige, na mzazi atampiga kizushi huyo mchokozi, na mtoto atanyamaza kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

    Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania CCM wanajua wawekezaji wataikimbia nchi baada ya Vodacom kutangaza hasara iliyotokana na tozo?

    Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi...
  5. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania CC YA CCM: Hata kama tozo zimejenga vituo vya afya 234 na shule za Sekondari 214 bado wananchi wana hoja, zitazamwe upya

    CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
  6. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania TAMNOA: Punguzo la tozo larejesha ukuaji wa matumizi ya huduma za kifedha kwa njia ya simu

    Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza mwaka 2021 mwezi Julai, na kwa kuangalia mlolongo wa matukio tangu kuanzishwa kwa tozo hizi, pamoja na kupungua kwa matumizi ya huduma za kifedha, hali ya mwaka huu wa fedha ni...
  7. Slowly

    JamiiForums Tanzania Mzee wa tozo Enzi hizo akiwa Shule

  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ushuru unaolipa nao unakatwa Tozo

  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  10. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Kinana iliwaondoa polisi barabarani, kauli ya nani itakuja kuondoa Tozo?

    Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read their minds. Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  12. mpasta

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

    Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio. Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yaishauri Bunge kubadilisha Tozo

    Siku chache baada ya Serikali kutetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki, Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka wizara ya fedha na mipango pamoja na kamati ya bajeti kupeleka mswada wa dharura bungeni ili jambo hilo liangaliwe upya. Septemba 1, 2022, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

    Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa. Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo na kwamba bila Tozo Tanzania itafilisika! Hawa Watu wangetafuta basi hata Watu wenye uelewa Kidogo...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Fatma/Shangazi, bado hajamuelewa mama yake

    Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutegemea tozo na kodi za nchi wanazotusaidia kwa maendeleo yetu

    Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huku tozo kibao wakiwekewa wananchi. Wakazi wa Liwale wanunua ndoo ya maji sh 1000/-

    Hizi tozo zinatusaidia nini sasa? Tunakamuliwa na bado hata maji hatupati --- Mamlaka ya Maji safi na mazingira Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi (LIWASA) imeombwa kuzalisha kwa wingi huduma ya maji kwa lengo la kuwatatulia wananchi kero za upatikanaji wa huduma hiyo kwa jamii. Ombi hilo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makali ya tozo yalianzia hapa

    Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha yenye marekebisho ya kodi na tozo, ambazo sasa zimezua malalamiko kwa wananchi. Kwa takribani wiki...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono tozo

    Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi. Mimi binafsi sijaona ubaya wowote wa serikali kuweka tozo na nina fikiri hakuna njia nyingine kwa wakati huu zaidi ya tozo na nitajaribu kuweka hoja hapa vizuri. Tanzania kama nchi inayoendelea inahitaji...
Back
Top Bottom