World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?
Karibu gardeners
Wakuu natanguliza shukrani kwenu.
Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni
1.Barchelor of arts in community development
2.Barchelor of community development
Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
Licha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma.
Kwa...
Kisa cha Adam. Utangulizi 1
🧠 "Mbu" kama ufunguo wa Maarifa
Aya ya Qur'an ya Q2:26 haimtaji tu mbu kama kiumbe, bali inaunda mfano wa kipekee: kitu kidogo kinachoangaliwa na walioamini kama ishara ya haki, na na walio kufuru kama fumbo lenye kero. Hii ni changamoto ya kiakili—huwachuja wale...
Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda , sloslow ana pdf ya taarifa zote jinsi nchi hii inavyonajisiwa kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi ...
Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na...
Wote ni wachumia tumbo,
Wote Ni matapeli,
Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,
Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana
Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia...
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
"He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura"
Hiyo ni kauli maarufu ya wapiga kura wa Liberia hasa vijana waliokuwa wakimuunga mkono dikteta Charles Taylor mwaka 1997 kwenye...
Kuna tofauti iliyopo kati ya neno Niko na nipo japokuwa hatuizingatii sana tunapoandia au kuongea.
Niko Inarejelea sehemu kwa mfano sasa hivi niko chumbani najamiiana na mke wangu.
Nipo Inaonesha hali ya kuwepo (kuwepo kwa kitu au mtu sehemu fulani) kwa mfano,
Mwalimu: Mbooyapunda...
TOFAUTI KATI YA FURAHA NA RAHA. WATU WENGI HUTAFUTA RAHA WAKIDHANI NI FURAHA. MWISHOWE HUJIKUTA WATUPU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Watu wengi huyachanganya maneno Furaha na Raha wakifikiri yanarejelea jambo Moja jambo ambalo sio sahihi.
Nitaeleza kifalsafa, kisaikolojia na kisemantiki...
Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.