Bachelor of Science in Computer Science with Software Engineering: Huu ni mtaala uliobobea zaidi katika uhandisi wa programu (software engineering). Ingawa unajumuisha baadhi ya mada za msingi za sayansi ya kompyuta, una msisitizo zaidi kwenye mchakato wa kutengeneza, kudumisha, na kusimamia programu. Maudhui yanahusu zaidi design ya programu, testing, software development methodologies .
Lakni Bachelor of computer science Huu ni mtaala wa jumla unaohusu sayansi ya kompyuta kwa ujumla. Inashughulikia mada mbalimbali kama vile algorithms, data structures, programming, operating systems, database management, na artificial intelligence. Kozi hii inakupa uelewa wa kina wa nadharia na vitendo vya kompyuta bila kuzingatia sana taaluma moja maalum.