Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,586
- 9,818
GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.