Kuna tofauti ya contact na connection

Kuna tofauti ya contact na connection

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,338
Leo tuanze kuangalia contact zilizomo kwenye simu zetu au tulipo weka kwa njia tujuazo.

Kuna watu wanajisifu kuwa na namba za watu mfano kiongozi ,matajiri,wenye vyeo na n.k

Lakini hizo namba zijawahi kuwa connection yoyote.

Kwa nini msifute
 
Unajifariji na namba za watu mashuhuri alafu hujawahi kuwasiliana nao mambo ya msingi
 
Leo tuanze kuangalia contact zilizomo kwenye simu zetu au tulipo weka kwa njia tujuazo.

Kuna watu wanajisifu kuwa na namba za watu mfano kiongozi ,matajiri,wenye vyeo na n.k

Lakini hizo namba zijawahi kuwa connection yoyote.

Kwa nini msifute
Kwahio namba yoyote kwenye simu llazima iwe na connection? Acha utegemezi.
 
Matako ysko kama unabisha lakini
Haya wewe ukichuchuma inaonekana ,ukiinama inaonekana ukiwa kifo cha mende inaonekana.Au hizo degree 4 uwezi kujishusha ulivyosema kwa wanaume
 
Back
Top Bottom