tma

In Arthur C. Clarke's Space Odyssey, Monoliths are machines built by an unseen extraterrestrial species.
In the series of novels (and the films based on these), three Monoliths are discovered in the Solar System by humans. The response of the characters to their discovery drives the plot of the series. It also influences the fictional history of the series, particularly by encouraging humankind to progress with technological development and space travel.
The first Monolith appears at the beginning of the story, set in prehistoric times. It is discovered by a group of hominids and somehow triggers a considerable shift in evolution, starting with the ability to use tools and weaponry. It is later revealed that thousands of other monoliths exist elsewhere in the Solar System.

View More On Wikipedia.org
  1. adriz

    Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

    Moja kwa moja, Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana. Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta...
  2. Ileje

    Ushauri kwa vikosi vya uokoaji: Majina ya mamlaka muhimu kama TMA yasitumike

    Kumekuwa na mazoea ya kutumia majina ya mamlaka muhimu kama TMA, GST, polisi nk katika mazoezi ya utayari kama ndiyo vyanzo vya taarifa za kufanya mazoezi hayo. Kwa ujumla habari hizi huleta taharuki kwa wananchi na kuwasababisha waache kufanya shughuli zao. Athari ya habari hizi kwa wananchi...
  3. V

    Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  4. JanguKamaJangu

    TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
  5. Webabu

    Kule TMA huwa wanatazamanaje siku utabiri ukienda kinyume?

    Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa. Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
  6. Mr Why

    Tuzo za TMA zitathaminika pale tu wanasiasa mtakapoacha kuziingilia

    Tuzo za TMA zimejaa aibu kubwa sana, uendeshaji wake unawashangaza hata waanzilishaji wa Tuzo Duniani. Tuzo za sanaa huwa zinadhaminiwa na watu wanaohusika na sanaa tu na sii vinginevyo. Grammy Awards, BET Awards, Oscar Awards hazina mahusiano na Serikali ya Marekani bali support kubwa inatoka...
  7. Suley2019

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) watoa tahadhari ya mvua kubwa

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Juni 5, 2023 jijini Dar...
  8. Msanii

    TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Wananzengo mmeamkaje leo? Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani. Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa. Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
  9. Thailand

    Hata mimi ningekuwa Diamond Platinum nisingekubali kushiriki tuzo za mziki TMA

    Itoshe kusema Diamond Platinum ni Mkubwa sana kwenye mziki wa Afrika, tusimuchukulie poa tu kwa kuwa anatokea Tanzania. TMA mmejitaidi kuandaa tuzo zenu changamoto ipo kwenye namna ya kuaandaa Category ili kuweza kuleta msisimko na hamasa kwa wadau wote wa mziki. Mimi sipendi hizi timu za...
  10. G

    TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

    Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
  11. Nyuki Mdogo

    Tuzo za TMA: Dancer Bora wa kike huyu hapa

    Mtoto Malaika mtoto nyigu jamani anafaa au hafai?
  12. R

    Mvua hizi ambazo zinanyesha kwa kuchelewa, zinafaa kupanda? TMA tusaidieni kama zitaendelea na kuwezesha kuvuna

    Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka TMA, Je, mkulima anaweza kupanda. Ushauri please
  13. NDUKI

    Moja ya Udhaifu wa Baraza la Sanaa Tanzania | TMA

    Habari zenu. Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani. Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
  14. Hemedy Jr Junior

    Tuzo za mchongo (TMA)

    Yapi maoni yako kuhusu hizi Tuzo Tanzania Music Awards. Maana kinachoendelea ni kuonesha kuwa baraza la sanaa haliko makini kabisa. NAIBU WAZIRI 'HAMIS MWINJUMA' Mwana FA sijui saumu kali au veep maana naona Baraza ni genge la wahuni tu. Madudu tu naona... ... Tukianza na Kategori ya...
  15. BARD AI

    Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

  16. BARD AI

    Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

    Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ? Msanii...
  17. sinza pazuri

    Tuzo za TMA chini ya Mwana FA zimezidi kuwa za hovyo

    Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua. Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki. Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
  18. BARD AI

    TMA yatabiri mvua kubwa kunyesha nchini Machi 14 na 15, 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefanya utabiri wa hali ya hewa wa siku 5 huku ikitoa angalizo kwa siku mbili za Machi 14 na 15, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa na mvua kubwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 13, 2023, angalizo la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache...
  19. Roving Journalist

    TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  20. BigTall

    TMA yasititiza umuhimu wa kufikisha taarifa za Utabiri wa Hali ya Hewa kwa uhakika, usahihi na kwa wakati

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesisitiza umuhimu wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa kutolewa kwa uhakika, usahihi na kwa wakati kwa ajili ya maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi. Haya yalizingumzwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Ladislaus Chang’a wakati akifungua Warsha ya...
Back
Top Bottom