In Arthur C. Clarke's Space Odyssey, Monoliths are machines built by an unseen extraterrestrial species.
In the series of novels (and the films based on these), three Monoliths are discovered in the Solar System by humans. The response of the characters to their discovery drives the plot of the series. It also influences the fictional history of the series, particularly by encouraging humankind to progress with technological development and space travel.
The first Monolith appears at the beginning of the story, set in prehistoric times. It is discovered by a group of hominids and somehow triggers a considerable shift in evolution, starting with the ability to use tools and weaponry. It is later revealed that thousands of other monoliths exist elsewhere in the Solar System.
Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha.
Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa.
Soma hii:
Habari
Imewekwa: Jan, 16 2021...
Mapema mwezi wa kumi kama sio mwezi wa kumi na moja mwaka huu,hawa TMA walitutangazia kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua kuanzia mwezi wa 11 hadi wa nne mwaka ujao,leo tena wamebadili gia angani,wamekuja na utabiri wa uwepo wa mvua nyingi.
Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo kwa vyombo vya habari imeelezwa kuwa hali hiyo inatokana na kusogea kwa jua la utosi na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi.
Aidha imeelezwa pia kwamba vipindi vya jua la utosi itafikia kilele chake mwishoni mwa mwezi Novemba wakati jua...
Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa?
TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni.
Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...
Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka sasa wameendelea Kuuchuna ( Kunyamaza ) tu.
Kwa Ubaridi huu ( Baridi hili ) la Sasa hapa Dar es...
Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA...
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar
Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia...
Kwa wiki kama mbili nyuma sasa, TMA walitoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua kubwa mikoa ya ukanda wa pwani ya Tanzania. Haikutokea mpaka leo hii hakuna mvua. Jana nikaangalia BBC/CNN weather wakasema coast of Tanzania with a mentin of DSM kutakuwa na mvua. Kweli sasa hivi niadikapo mvua kubwa...
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameshauri wakazi wanaoishi katika mikoa 15 inayotarajiwa kuwa na kiwango cha juu cha joto kuzingatia ulaji, unywaji, uvaaji na mtindo wa maisha unaofaa ili kupunguza kero itakayowakabili.
Jana, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) ilisema mikoa hiyo inatarajiwa...
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imesema mvua zinazoendelea kunyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika bahari ya hindi.
Mvua hizi zinatarajiwa kupungua sana siku ya kesho.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Pia soma:
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora
Tetemeko dogo...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA TANZANIA KIPINDI CHA JUNI – AGOSTI (JJA), 2020
Dondoo muhimu za hali ya hewa kipindi cha Julai-Agosti (JJA), 2020
Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa pamoja na hali ya hewa inayotarajiwa katika msimu wa Kipupwe kwa miezi ya Julai hadi...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa siku tano zijazo na Athari zinazoweza kutokea. Hali mbaya baharini inaweza kuathiri shughuli za uvuvi.
Imetabiri kuwa na upepo mkali na mawimbi makubwa katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.