Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele

"TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny

JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ?
1680847114792.png

1680847263278.png

1680847317885.png

Msanii Wa Bongo Fleva MbossoKutoka #WCB Ametoa Maoni Yake Kuhusu Tuzo Za Muziki Tanzania "TMA"

#Mbosso Ameoneshwa Kushangazwa Na Vipengele Vilivyotangazwa Siku Ya Jana Ambapo Amedai Baadhi Nyimbo Zake Kali Kutokuwepo Katika Vipengele Hivyo Vya TMA

"KHAN EP ilikuwa Na Kigezo Gani Cha Kutokuwepo ALBUM/ EP Bora? Halafu Mniambie Zilizokuwepo Zimetoa Hit Ngapi Labda, Maana Khan Ep Imetoa (Shetani, Yataniua, Huyu Hapa, Assalam N.k).

Angalia hapa waliotajwa kuwania Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom