Tuzo za TMA chini ya Mwana FA zimezidi kuwa za hovyo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua.

Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki.

Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
 
Back
Top Bottom