tma

In Arthur C. Clarke's Space Odyssey, Monoliths are machines built by an unseen extraterrestrial species.
In the series of novels (and the films based on these), three Monoliths are discovered in the Solar System by humans. The response of the characters to their discovery drives the plot of the series. It also influences the fictional history of the series, particularly by encouraging humankind to progress with technological development and space travel.
The first Monolith appears at the beginning of the story, set in prehistoric times. It is discovered by a group of hominids and somehow triggers a considerable shift in evolution, starting with the ability to use tools and weaponry. It is later revealed that thousands of other monoliths exist elsewhere in the Solar System.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 25

    Wakuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga, Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TMA: Wananchi chukueni tahadhari ongezeko la joto

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari uwepo wa kimbunga CHIDO Bahari ya Hindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kinatarajiwa kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Msumbiji katika...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa angalizo la mvua kubwa inayoweza kusababisha makazi kuzungukwa na maji

    Wakuu, ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki (Mikoa ya Arusha...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

    Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hizi Bilioni 24.5 walizopokea Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa (TMA) zitatumikaje kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Wakuu, Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya hewa. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TMA, Jaji Mshimbe Bakari, alitangaza msaada huo jijini Dar...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Vipengele vya Tuzo za Muziki za TMA 2024 ni Pamoto

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo imeanza kutangaza Vipengele vya wanavyowania tuzo za muziki nchini kwa kuanza na vipengele vitatu ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Akitaja Vipengele vya...
  10. W

    JamiiForums Tanzania TMA: Kutakuwa na Upepo Mkali unaozidi Kilomita 40 kwa siku 3 mfululizo nchini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa Septemba 1, 2024 kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa siku tatu mfululizo kuanzia Septemba 1 hadi Septemba 3, 2024 Taarifa hiyo imesema kuwa Athari zinazoweza kujitokeza ni kuathirika na kughairishwa kwa...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania TMA hizi mvua hawakuziona kwenye rada zao?

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) hawakutupatia taadhari juu ya mvua zilizopiga jana usiku mikoa ya pwani. Kuna watu zinaweza kua zimewaharibia mali au makazi yao. Kwanini hawakutoa taarifa za awali tuchukue taadhari. Au tuseme rada zao hazikuona? Mvua zimekuja ghafla from nowhere hadi...
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka TMA ishushe huduma za Hali ya hewa hadi ngazi ya Kanda, Mikoa na wilaya

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM), Profesa Patrick Ndakidemi, ameitaka mamlaka ya Hali ya hewa nchinj(TMA) kusogeza huduma za Hali ya hewa hadi kupeleka watendaji kuanzia ngazi za Kanda, Mikoa na wilaya ikiwa ni mkakati wa kuboresha huduma za mamlaka na Kwa wananchi kwa ujumla. Profesa...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Kupatwa kwa Jua hakutakuwa na athari zozote kwa Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema leo Aprili 8, 2024 dunia inatarajia kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Kikamilifu ambapo Mwezi utazuia kabisa Mwanga wa Jua, hata hivyo tukio hilo halitakuwa na athari zozote kwa upande wa Tanzania TMA imesema nchi zitakazoshuhudia zaidi tukio...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania TMA: Joto linachangiwa na kusogea Jua la Utosi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua. TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mvua za El-Nino kuendelea hadi Aprili 2024

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema bado kuna viashiria vya uwepo wa El-Nino hadi Aprili mwaka huu. El-nino ni mfumo wa hali ya hewa unaosababishwa na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Mwaka jana, TMA ilieleza kuwepo kwa El-Nino...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

    Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi. Hii ni tarehe 1 January 2024.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

    Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia. Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua. All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

    Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest. P Funk ni msanii, anasimamia wasanii wanaoenda kushindana pia ana upande wa muziki anaupiga vita...
Back
Top Bottom