Tuzo za mchongo (TMA)

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Yapi maoni yako kuhusu hizi Tuzo
Tanzania Music Awards.
Maana kinachoendelea ni kuonesha kuwa baraza la sanaa haliko makini kabisa.

NAIBU WAZIRI 'HAMIS MWINJUMA' Mwana FA sijui saumu kali au veep maana naona Baraza ni genge la wahuni tu. Madudu tu naona...

... Tukianza na Kategori ya Msanii bora wakike 2022-2023 unakuta kwa list yuko
Nandy, Zuchu eti na Shilole.

kipengere cha Video bora ya Mwaka
2022-23 hapa ndo wamezingua, Video ambazo zinawania hiyo Tuzo ziko sawa ila waongozaji wa hizo Video yaani madirector hawapo kwenye kategori ya ( Mwongozaji bora wa video ya mwaka. Tuna Watu wa ajabu kwenye sekta ya sanaa.

InShot_20230409_084240024.jpg
 
Back
Top Bottom