tma

In Arthur C. Clarke's Space Odyssey, Monoliths are machines built by an unseen extraterrestrial species.
In the series of novels (and the films based on these), three Monoliths are discovered in the Solar System by humans. The response of the characters to their discovery drives the plot of the series. It also influences the fictional history of the series, particularly by encouraging humankind to progress with technological development and space travel.
The first Monolith appears at the beginning of the story, set in prehistoric times. It is discovered by a group of hominids and somehow triggers a considerable shift in evolution, starting with the ability to use tools and weaponry. It is later revealed that thousands of other monoliths exist elsewhere in the Solar System.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

    Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe...
  2. TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  3. Hizi Bilioni 24.5 walizopokea Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa (TMA) zitatumikaje kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Wakuu, Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya hewa. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TMA, Jaji Mshimbe Bakari, alitangaza msaada huo jijini Dar...
  4. W

    Vipengele vya Tuzo za Muziki za TMA 2024 ni Pamoto

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo imeanza kutangaza Vipengele vya wanavyowania tuzo za muziki nchini kwa kuanza na vipengele vitatu ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Akitaja Vipengele vya...
  5. W

    TMA: Kutakuwa na Upepo Mkali unaozidi Kilomita 40 kwa siku 3 mfululizo nchini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa Septemba 1, 2024 kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa siku tatu mfululizo kuanzia Septemba 1 hadi Septemba 3, 2024 Taarifa hiyo imesema kuwa Athari zinazoweza kujitokeza ni kuathirika na kughairishwa kwa...
  6. TMA hizi mvua hawakuziona kwenye rada zao?

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) hawakutupatia taadhari juu ya mvua zilizopiga jana usiku mikoa ya pwani. Kuna watu zinaweza kua zimewaharibia mali au makazi yao. Kwanini hawakutoa taarifa za awali tuchukue taadhari. Au tuseme rada zao hazikuona? Mvua zimekuja ghafla from nowhere hadi...
  7. Profesa Ndakidemi aitaka TMA ishushe huduma za Hali ya hewa hadi ngazi ya Kanda, Mikoa na wilaya

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM), Profesa Patrick Ndakidemi, ameitaka mamlaka ya Hali ya hewa nchinj(TMA) kusogeza huduma za Hali ya hewa hadi kupeleka watendaji kuanzia ngazi za Kanda, Mikoa na wilaya ikiwa ni mkakati wa kuboresha huduma za mamlaka na Kwa wananchi kwa ujumla. Profesa...
  8. TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
  9. TMA: Kupatwa kwa Jua hakutakuwa na athari zozote kwa Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema leo Aprili 8, 2024 dunia inatarajia kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Kikamilifu ambapo Mwezi utazuia kabisa Mwanga wa Jua, hata hivyo tukio hilo halitakuwa na athari zozote kwa upande wa Tanzania TMA imesema nchi zitakazoshuhudia zaidi tukio...
  10. TMA: Joto linachangiwa na kusogea Jua la Utosi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua. TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo...
  11. TMA: Mvua za El-Nino kuendelea hadi Aprili 2024

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema bado kuna viashiria vya uwepo wa El-Nino hadi Aprili mwaka huu. El-nino ni mfumo wa hali ya hewa unaosababishwa na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Mwaka jana, TMA ilieleza kuwepo kwa El-Nino...
  12. Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

    Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi. Hii ni tarehe 1 January 2024.
  13. TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  14. R

    Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

    Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia. Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua. All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito...
  15. P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

    Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest. P Funk ni msanii, anasimamia wasanii wanaoenda kushindana pia ana upande wa muziki anaupiga vita...
  16. Wanajeshi 88 Washindwa Kumaliza Kozi TMA

    Wanafunzi 88 waliojiunga na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) mkoani Arusha, wameshindwa kumaliza mafunzo kwa sababu mbalimbali ambapo kati yao, 14 wadaiwa kuyakimbia ambapo mhitimu hutunukiwa “Shahada ya Kijeshi.” Hayo yamebainishwa katika mahafali ya leo Jumamosi Novemba 18, 2023...
  17. TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  18. Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  19. S

    Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

    Sipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango. Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha. Waliochukua tahadhari...
  20. Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Kwanza niipongeze sana idara inayoshughulika na ukusanyaji wa data za hali ya hewa na mwisho kututangazia hali ya hewa inayotarajiwa kuwepo. Binafsi ni mdau mkubwa wa kutazama hali ya hewa, kwa uchache kutwa mara tatu. Habari ya mwisho kuu waliyotutangazia watabiri wetu ilikuwa ni kututaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…