Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua.
TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo hujirudia Februari wakati likielekea Kaskazini (Tropiki ya Kansa).