Kwaheri TIGO Mobile Network, Unachosha kwa Usanii!

BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,144
2,000
Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:

1. Unalipia kifurushi (data au muda wa maongezi) pesa wanachukua lakini kifurushi inachukua muda zaidi ya masaa 24 bila kupata, ukiwapigia customer care unaambiwa 'endelea kusubiri'.
2. Hawatoi ushirikiano kwa wateja wao wanaoibiwa pesa zao wanapoomba msaada.
3. Kuwatumia meseji za promotion mbalimbali wateja wao wasiopenda matangazo yao. Mteja anapowalalamikia anajibiwa 'tuma meseji ya kujiondoa'. Huu ni ujinga, unamwambiaje mtu ajiondoe kwenye huduma ambayo hakujiunga bali mlimuunganisha wenyewe pasipo consent yake?
4. Network hafifu, nk.
Mimi nasema basi, TIGO kwaheri!
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
39,434
2,000
Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:
1. Unalipia kifurushi (data au muda wa maongezi) pesa wanachukua lakini kifurushi inachukua muda zaidi ya masaa 24 bila kupata, uliwapigia customer care unaambiwa 'endelea kusubiri'.
2. Hawatoi ushirikiano kwa wateja wao wanaoibiwa pesa zao wanapoomba msaada.
3. Kuwatumia meseji za promotion mbalimbali wateja wao wasiopenda matangazo yao. Mteja anapowalalamikia anajibiwa 'tuma meseji ya kujiondoa'. Huu ni ujinga, unamwambiaje mtu ajiondoe kwenye huduma ambayo hakujiunga bali mlimuunganisha wenyewe pasipo consent yake?
4. Network hafifu, nk.
Mimi nasema basi, TIGO kwaheri!
Hongera sana RUDI nyumbani KUMENOGA.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,218
2,000
Mimi nilifikiri ile tigo nyingine nikawa nimekuja kushuhudia kilichokusibu.

Ushauri wangu usitupe laini unaweza enda sehemu netwek zenye nafuu ni mbili tu voda na tigo.
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,844
2,000
Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:
1. Unalipia kifurushi (data au muda wa maongezi) pesa wanachukua lakini kifurushi inachukua muda zaidi ya masaa 24 bila kupata, ukiwapigia customer care unaambiwa 'endelea kusubiri'.
2. Hawatoi ushirikiano kwa wateja wao wanaoibiwa pesa zao wanapoomba msaada.
3. Kuwatumia meseji za promotion mbalimbali wateja wao wasiopenda matangazo yao. Mteja anapowalalamikia anajibiwa 'tuma meseji ya kujiondoa'. Huu ni ujinga, unamwambiaje mtu ajiondoe kwenye huduma ambayo hakujiunga bali mlimuunganisha wenyewe pasipo consent yake?
4. Network hafifu, nk.
Mimi nasema basi, TIGO kwaheri!
nina laini yao kwa zaidi ya miaka kumi....kwanza wakanitoa ktk kifurushi cha UNIVERSITY nikwapigia wakaniambia kuna kipya kimekuja hicho kipya kumbe ilikuwa ni kipindi cha mpito cha kuniibia pesa zangu....yaaani unajiunga 2500 halafu wanakupangia dkka za mchana na usiku nikawapigia koz sikuelewa mwanzo....

Wadada wanahasira wanataka waongee mpka wamalize km watu wa Q Net nikawaaga nikawaambiahamtniona mpaka mtakapobadilish huduma au halotel wazingue.........

Sasa hivi natumia Halotel dkk 50 kwa wiki 1000 na gb 1 kwa wiki 1000......wanaishia kunitumia matangazo ya kushinda mil 50 sijui nini shenzyyyy.......kifurushi wameshindwa kurekebisha ndo watanipa mil50
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,909
2,000
Hiyo sio shida sana, shida ni pale tigo wanajua mpenzi wako anachat na nani ila kwako busy kukuita ndugu mteja kifurushi chako kiimeisha ongeza salio😏😏

HAPPY NEW YEAR JF MEMBERS.
 
sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
381
1,000
Kingine ni ile kunipangia dk nyingine nitumie usiku nyingine mchana inakera sana

Ila wajinga wengine ni airtel
 
Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
844
1,000
Toka jana nimelipia luku pesa wamekata na hadi leo token sijatumiwa toka hiyo jana nawapigia simu ikifika pale kuongea na mhudumu inakata leo ndo nawapata tena baada yakunisubirisha zaid yanusu saa thn wananijibu kuna shida yamtandao ndan ya masaa 24 pesa yako itarud sasa nasubiri ayo masaa 24 nione pesa yangu itarud yote pamoja naile walioikata kama ada yahuduma au watarusha ile pesa yajuu tu bila ile ada
 
Nyengo3

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
459
1,000
Kwa sasa nimekita kambi TTCl ni kumenya tuu yaani, zile mambo za txt kila baada ya dk3 sijui shinda mapesa huku hamna mzee.. karibu nyumbani kumenoga.
Hongereni TTCl ya jiwe kwa kuwa wastaarabu.
 
imani hakuna

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,135
2,000
Naona kile kifurushi cha 1500 kinazidi kupanda bei tuu, ilikua 1500 mara 2500 sasa ni 3000

Tigo wasanii sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom