tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mtoki (Swollen lymph nodes) kujirudia kila mwaka

    Nina hili tatizo la muda mrefu la kurudia kwa mtoki wenye maumivu makali karibu kila mwaka. Kuna wakati nashindwa hata kutembea maana umekaa sehemu mbaya. Nikibonyeza naushika ila uko kwa ndani na ni kama jipu gumu linalouma kwa ndani. Sina ugonjwa wowote wa zinaa wala maambukizi ya VVU. Na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mshipa kwa Mzee wa Umri miaka65 hospital Gani nzuri kufanya operation

    Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tiba ya tatizo la ANAL FISTULA

    Nina ndugu yangu amepata changamoto ya anal fistula amefanyiwa operation mbili tatizo lipo katika hatua za awali anatokwa na maji kidonda hakifungi na mwezi 6 mwaka huu wamemfanyia operation nyingine kwa kufunga njia ya haja kubwa wamemtoboa tumbo uchafu unapita hapo.Tunaomba mwenye ushauri kwa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umekosea kuoa/kuolewa. Namaanisha kama upo kwenye ndoa au uhusiano na mtu ambaye si sahihi kwako njoo hapa kuna tiba.

    80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao. Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote wanaweza kuwa sahihi kwako . La haula baada ya kufunga ndoa, baada ya kuzaa na mtu ndipo unagundua huyo mtu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bawasiri ya ndani na tiba yake

    Kwa anayefahamu dawa yake naomba anisaidie mana imesababisha kinyama kitoke Hali inayosababisha maumivu makali,Minpo Dodoma ingawa hapa Dodoma kuna dawa zike za wasuni ila sijazijaribu naombeni ushauri wenu mana operation siitaki kabisa
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wataalamu Wazawa zaidi ya 70 wa Usingizi Tiba na Ganzi wapewa mbini za kisasa MOI

    Wataalamu wazawa zaidi ya 70 wamepewa mbinu za kisasa za kutoa matibabu kwa wagonjwa ili kupunguza madhara yatokananyo na dawa kwa wagonjwa nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa leo Julai 22, 2025 na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Hamad Nyembea, Wizara ya Afya kwa niaba ya Katibu Mkuu wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Malaria kwa Watoto wachanga yaidhinishwa rasmi

    Kwa mara ya kwanza, dunia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kuidhinishwa kwa tiba maalum ya malaria kwa watoto wachanga na wadogo wenye uzito wa chini ya kilo 4.5, hatua inayotarajiwa kuokoa maelfu ya maisha kila mwaka barani Afrika. Tiba hiyo mpya, iliyotengenezwa...
  9. Montania

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya vitu kumbea mwilini

    Habari za wakati Huu, Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni atusaidie dawa yake ni nini? Au kama kuna mtaalamu (Daktari) anayejua matibabu ya hii hali anisaidie sababu ni hali inayokera na inatokea mda wowote. Natanguliza shukrani.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Maarifa ni dhahabu masomo ni tiba

    . Hebu angalieni hii picha, lakini msiishie kuiangalia, itazameni na mnapoitazama, itazameni kwa makini. Kisha tafakari ujumbe ufuatao👇👇👇 Hivi unajua kwamba kila mmoja wetu hapa duniani amefanikiwa? Yaani hakuna mtu duni, maskini, fukara, boya, lofa wala kenge. Uduni, umaskini na ufukara...
  12. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mafusho, vito na vitakasa vingine: Ni zana ya kusaidia, si tiba ya kamili

    Katika ulimwengu wa kiroho, watu wengi hujikuta wakivutiwa na matumizi ya mafusho (udi, ubani karafuu mdalasini na aina mbali mbali za mafusho kulingana na nyota yako), vito , na vitakasa mbalimbali vya kiroho kama maji ya kutakasa, chumvi, n.k. Hivi vyote vina nafasi yake. Ni kama mafuta...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tiba tiba tiba

    Unateseka kimya kimya? SULUHISHO LIPO! Adro T – Kirutubisho cha Asili kwa Afya ya Uzazi na Ndoa Yenye Furaha! Kwa wanaume: Nguvu kurudi Mbegu kuongezeka Kurudia tendo si hadithi tena! Tezi dume? Tunamaliza! Kwa wanawake: Maumivu ya hedhi kwisha! Ukavu na harufu ukeni? Tiba ipo Hormone balance...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

    Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  17. Mind stone

    JamiiForums Tanzania UZI WA TIBA: Magonjwa Yanayodhoofisha Mwili na Akili – Tishio la Kimya Tunalopaswa Kulielewa Kitaalamu

    Habari zenu wanajukwaa wenzangu, Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious professional. Leo nimeona nilete mjadala wa kina kuhusu magonjwa hatari ambayo huathiri mfumo wa mwili...
  18. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tiba asili ya tonsils maana hospitali nimefeli kupata dawa ya kudumu

    Salaam. Wadau wa JF, nna Mdogo Ang wa myaka 17 anateseka Sana na shida ya tonsils. Ametibiwa hospitali Mara kadhaa, Hasa akiwa anakaa shule Ila shida imebakia kuwa nzito akahamia day. From there tatizo limepungua Ila humrudia Kila Mara Licha ya kutumia doze na kumaliza. Kila akila kitu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM watu wanaogopana nahawataki kuambiana ukweli. Lazima tutafute tiba ya rushwa na tuache unafiki

    Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki. Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka — aliyewahi kuwa mtumishi wa mashirika ya kimataifa, Waziri wa Ardhi, Mbunge wa Muleba —...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kutoacha mdomo wazi

    https://www.facebook.com/share/r/18LBxmXewj/
Back
Top Bottom