Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba).

Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba).

Lorenzini

Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
38
Reaction score
49
Habari za wakati huu wana jamii forum.

" Bro, naomba kujua kuhusiana na kozi ya Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba), kuanzia kwenye chuo kizuri kinachotoa hiyo kozi (kwa vitendo zaidi) , nafasi za intern, uhitaji wake katika jamii na upatikanaji wa ajira (serikalini na private)"

Naomba wahitimu waliopo kwenye fani hiyo watupe majibu. .
 
Back
Top Bottom