The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".
Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini.
Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi.
Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki.
Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
Kwa muda mrefu, tiba ya kiharusi hapa nchini ilikuwa changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa teknolojia ya kisasa ya kuchunguza na kutibu mishipa ya damu ya ubongo kwa haraka na kwa ufasaha.
Hali hiyo ilisababisha wagonjwa wengi kupoteza maisha au kubaki na ulemavu wa kudumu. Ujio wa mtambo wa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya...
Mnakera na kutia aibu asee
Habari,
Nimeleta hii post ili kukumbusha asili yetu kwa upande wa mapishi na vyakula kwakua ni wazi kuwa magonjwa yanaongezeka kila kukicha pindi asili inapoondoka. Kwa ambao tumeonja ladha ya vyakula vya asili toka utotoni tumebaki na kumbukumbu ya zamani tu ila hatupati ile ladha ya asili ya...
Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
Jamani mwanamke wangu nayetegemea kumuoa ana matatizo ya kukojoa kitandani na alishindwa kunambia hadi baadae alipoamua kufanya hivyo.
Naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia ili tuendelee na maisha lakini pia awe huru hata kutembea na kulala kwa ndugu.
KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani.
Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
Huyu ni rafiki w karibu sana,tulicheza pamoja na tukakua pamoja.
Leo ameamkia nyumbani kwangu kifuru Dsm,katika moja na mbili analalamika yakuwa amekuwa anafatwa na Njiwa kila nyumba aliyokuwa akipanga na Sasa ameamia kwake pia wemfata je hii Ina maana Gani? Wapo ndani ya singibodi.nachukia...
Nina hili tatizo la muda mrefu la kurudia kwa mtoki wenye maumivu makali karibu kila mwaka.
Kuna wakati nashindwa hata kutembea maana umekaa sehemu mbaya.
Nikibonyeza naushika ila uko kwa ndani na ni kama jipu gumu linalouma kwa ndani.
Sina ugonjwa wowote wa zinaa wala maambukizi ya VVU.
Na...
Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa,
Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
Nina ndugu yangu amepata changamoto ya anal fistula amefanyiwa operation mbili tatizo lipo katika hatua za awali anatokwa na maji kidonda hakifungi na mwezi 6 mwaka huu wamemfanyia operation nyingine kwa kufunga njia ya haja kubwa wamemtoboa tumbo uchafu unapita hapo.Tunaomba mwenye ushauri kwa...
80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao.
Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote wanaweza kuwa sahihi kwako .
La haula baada ya kufunga ndoa, baada ya kuzaa na mtu ndipo unagundua huyo mtu...
Kwa anayefahamu dawa yake naomba anisaidie mana imesababisha kinyama kitoke Hali inayosababisha maumivu makali,Minpo Dodoma ingawa hapa Dodoma kuna dawa zike za wasuni ila sijazijaribu naombeni ushauri wenu mana operation siitaki kabisa
Wataalamu wazawa zaidi ya 70 wamepewa mbinu za kisasa za kutoa matibabu kwa wagonjwa ili kupunguza madhara yatokananyo na dawa kwa wagonjwa nchini Tanzania.
Hayo yamebainishwa leo Julai 22, 2025 na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Hamad Nyembea, Wizara ya Afya kwa niaba ya Katibu Mkuu wa...
Kwa mara ya kwanza, dunia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kuidhinishwa kwa tiba maalum ya malaria kwa watoto wachanga na wadogo wenye uzito wa chini ya kilo 4.5, hatua inayotarajiwa kuokoa maelfu ya maisha kila mwaka barani Afrika.
Tiba hiyo mpya, iliyotengenezwa...
Habari za wakati Huu,
Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni atusaidie dawa yake ni nini? Au kama kuna mtaalamu (Daktari) anayejua matibabu ya hii hali anisaidie sababu ni hali inayokera na inatokea mda wowote.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.