Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,127
- 3,765
Habari ya muda mrefu wakuu….
Baada ya miezi mingi kupita hatimaye nimerudi tena Binti wa zamani do you see me?……
Hivi mnajua kuwa mioyo yetu inauhitaji wa amani muda wote hapa duniani,na je mnaju kuwa amani za mioyo zinachangia tiba kisaikolojia……anyway iko hivi katika maisha yetu tusisahau kufanya vitu tunanvyovipenda kwa mfano
Binafsi mimi napenda sana vitu kama kumi hivi ikiwemo
MAZOEZI.
Hii ni moja ya kitu ambacho watu wengi tunapaswa kukifanya walau marwa nne kwa wiki kwa lengo la kijijenga kiakili na kimwili,ukweli ni moja ya tiba kibwa kuliko madawa.
MOVIES.
Sitaki kusema movies ni nzuri 100%,bali inatokana na aina za movies zenyewe,nasema hivi kwa sababu wakati huu wa kidogitali kumekuwa na movies nyingi sana haswa mbaya.Ila movies ni moja vya viburudisho bora kutokea kama vile muziki.
KUSOMA NA KUCHORA.
Kwa upande wangu nimekuwa nikienda sana kusoma na kichora tangia nikiwa mtoto mdogo,Na hapo ndipo paliponifanya nipate vipaji vingine vingi ikiwemo sign designing,map drawing n.k
KUSIKILIZA MUZIKI.
Nitoshe kusema muziki pia enilea na kunikuza kwa namna flani hivi licha ya kuwa kunamuda majukumu yanaziba hadi masikio kukakakake,na hapa niishie kusema continue to rest DMX whatever youre.
Hivyo basi ,yote ya yote nipende kuwaambia msisahau kuipa mioyo yenu chakula stahiki.