Kwa wapenda masumbwi wote, habari zenu.
Ni habari za kusikitisha kusikia kwamba yule nguli wa masumbwi aliyepata kuwika duniani , pretty boy, money maker Floyd Mayweathear jr the hall of famer amemfurusha kutoka katika (Gym yake TMT Gym) kijana wake aliyemlea katika masumbwi Gervonta "Tank"...