Samia hawezi kuaminika tena, amejipa doa sugu

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Mar 1, 2023
168
818
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!

Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.

La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue limemtia doa kuu boss wao.
 
Wananchi watasahau kesho tu!kama walivosahau loliondo na na ngoro ngoro!!

Cha kujiuliza tangu tumeanza kubinafsisha tumepata hasara kiasi gani na faida kiasi gani na wenye mamlaka kama waliona hakuna faida wasingeruhusu mikataba KUENDELEA!!!kwakua hao wenye mamlaka walikaa kimya basi waliona faida inayopatikana!!!!

Mimi naamini kisiasa Rais ni top ila kiusalama wa nchi Rais no mdogo,kama wenye mamlaka ya kuweka Rais wanaona huyu sio anatukosea wangemtoa kabla hata Bunge halijapitisha makubaliano!!
 
Ndugu kwa hilo wananchi kulisahau sahau!

Nipo kijijini ndani ndani kabisa watu wanalielewe
 
Attachments

  • 85179863-E971-4E67-9A23-BF2163EDAB87.jpeg
    85179863-E971-4E67-9A23-BF2163EDAB87.jpeg
    10.6 KB · Views: 1
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!

Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.

La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue limemtia doa kuu boss wao.
Lini ulimwini?
Kuna watu hawajawahi kumwamini huyu mama, na kamwe hawatokuja kumwamini ht afanye mazuri kiasi gani
 
Wananchi watasahau kesho tu!kama walivosahau loliondo
Loliondo kipindi cha Mwinyi huko media za chama na serikali..people awareness ilikuwa ndogo sana/haipo..usilinganishe za zama hizi ndugu
Hii issue ya bandari imemgusa karibu kila mtanzania(mtanganyika)tofauti na ngorongoro
 
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!

Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.

La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue limemtia doa kuu boss wao.

Akili hizi za kumsikiliza Tundu Lissu na kuwa brainwashed, ni ngumu kuelewa..

Umeusoma ule mkataba vizuri na umeelewa sehemu gani ina tatizo kidogo pa kurekebisa? Sbb ikiwa hujui chochote, bora kukaa kimya, huwezi pata mwekezaji wa kisasa kwenye Bandari kama DP World, ndio kampuni sahihi sana.

Vifungu sana sana viwili au vitatau tu vya kurekebisa,
1: Muda wa Mkataba uwekwe wazi labda miaka 33, kama mkataba utaenda vizuri wataongeza
2: Watu wetu wa TEHAMA nao wawe involved ktk system mpya ya mapato ya Bandari, ili mapato halisi yajulikane na investment cost halisi iwe wazi na tuweze kujua mapato halisi ili serikali ipate haki yake na mwekezaji apate haki yake.
3: Ajira za wazawa ni jambo muhimu sana, kwani Waziri kaweka wazi ajira zitaongezeka, hili ni suala la kuangalia kwa makini, kwani mwekezaji nae atataka watu wake wengi waje wasimamie, hivyo utaratibu mzuri kabisa uwepo wazi juu ya ajira ya pande zote, ni uwekezaji mzuri kabisa, tuache siasa mbovu za kishabiki
 
CCM-CHUKUA CHAKO MAPEMA
 
Huna akili!

Samahani kwa kukufahamisha hilo.
 
Back
Top Bottom