tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Najuta kuwa Mwafrika

    Kibaya zaidi Mwafrika hataki kabisa kukiri kuwa akili zake ni finyu au hana akili kabisa. Kila mtu hapa Afrika ni daktari, ukiumwa kidogo utasikia kunywa maji mengi. Kula matunda. Ukimuuliza hayo maji yanafanya vipi moa mtu apone hana jibu. Karne hii bado kuna watu wanawafundisha Waafrika wenzao...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ndio Hivo Tena kama tulivyosikia

    Mnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la kujiuliza ni kwamba kuna muelekeo wowote wa matumaini katika hatua anayoifuatia au ndio tukutane...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wapigwa tena na Kampuni ya Upatu ya "Best Capital Management" zaidi ya Bilioni 15

    Watanzania sijui watashtuka lini. Lakini hii ni uthibitisho wa fikra za Darwin kwamba hapa Duniani ni eitha uchague kua chakula uliwe ama uchague kua mla chakula. Siku zote wala chakula hutafta chakula kilichoiva wakile, wakikukuta umejikalia kama chakula kilichoiva lazima utaliwa tu...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Pemba kikombe cha Babu limerudiwa tena

    Haya ndugu zangu Tayari kuna mwananchi amegundua maji mabaridi/matamu fukwe ya pwani ya Konde visiwani Pemba. Jamaa anasema yeye pamoja na familia yake wote walikuwa wanaumwa baadaye walipokunywa maji waliweza kupona wote na hata baada ya kuaambia majirani mwanzo walipuuza ila nao,wakayatumia...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Afrika itatawaliwa tena ama itageuzwa dampo la walioendelea

    Wakati Mabara na nchi toka kwenye mabara mengine zinawekeza kwenye mbongo za watu wao, Afrika bado watu wake wanatangatanga kwenye lindi la ujinga na udumavu wa akili unaosababisha umaskini wao. Leo hii karibia Afrika nzima serikali zilizoko madarakani ni taasisi za kikandamizi dhidi ya watu wa...
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hello bosses and roses, Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani. Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa CCM Mkoa: Miili ya Watu inaokotwa kwenye Mifuko ya Rambo, Simiyu si salama

    Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa. Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yafeli tena kwenye kutest kombora la Hypersonic

    Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic. Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi na China kwenye teknolojia za silaha za kivita imeshindwa tena ktk jaribio lililofanywa la kuisaka...
  10. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

    WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama... Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!" Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlionidhihaki nilipofumba kuwa leo Taifa Stars itafungwa na Uganda rudini tena mnidhihaki

    Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu" Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu arejesha tena usafiri wa "Mchomoko" Simiyu

    Sasa ni rasmi ile biashara ya Magari madogo kubeba abiria katika mkoa wa Simiyu maarufu kama Mchomoko, imereja rasmi baada ya tarkibani miezi tisa tangu yazuiliwe kufanya kazi hiyo ndani ya mkoa huo. Hiki ni kicheko na furaha kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu hasa vijana ambao walikuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika hazina hamu tena na "Demokrasia ya Kimarekani"

    Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
  14. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Floyd Maywether na Gervonta "Tank" Davis hawaelewani tena

    Kwa wapenda masumbwi wote, habari zenu. Ni habari za kusikitisha kusikia kwamba yule nguli wa masumbwi aliyepata kuwika duniani , pretty boy, money maker Floyd Mayweathear jr the hall of famer amemfurusha kutoka katika (Gym yake TMT Gym) kijana wake aliyemlea katika masumbwi Gervonta "Tank"...
  15. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatamani maandamano ili waende na upepo sema ndio ivyo tena mkate umekutana na chai

    Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao. Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane. Mimi na wenzangu tupo hapa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nyama ya nguruwe (Kitimoto) yapigwa marufuku tena Ludewa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe yapiga marufuku uingizwaji wa Nguruwe na matumizi ya mazao yatokanayo na nguruwe wilayani humo. Akizungumza na vyombo vya habari leo Machi 15, 2023 Daktari wa mifugo wilayani humo Festo Mkomba amesema zuio hilo limekuja baada ya kubainika kwa uwepo...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  19. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Je, hiki kinachofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuanza tena kuwakata makato wale wanaufaika ambao tayari walishamaliza marejesho?

    Ninaomba tu kufahamau kama hiki kitendo kinachofanywa na hii Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), kama ni sahihi au la. Binafsi naona kama ni kitendo cha kihuni. Maana mwezi uliopita kuna kundi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu walioko kwenye utumishi wa umma, na ambao kimsingi...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa malori ya mizigo wamekuwa kero kwa abiria Stendi ya Kilombero

    Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala. Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
Back
Top Bottom