tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hormuz Itafungwa Tena

    https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu Hio ni breaking news
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wadau unaoa mwanamke ambae unafahamu anawanaume wengine, Tena na wewe umemkuta anamwanaume halafu unataka asichepuke braza kuwa mpole tu

    Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea...
  4. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Siku zilizoongezwa kwa Tume ya MO29 zimeisha, kwanini wanakaa kimya kama wameongeza tena siku?

    Wahusika toeni taarifa siku ya kutoa ripoti. Kama siku zimeongezwa tena semeni!
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania NASA wamerudi tena Mwezini, na tayari picha za awali zimeanza kuachiwa — Je, Wale wabishi wa ‘Moon Hoax’ Bado Wataendelea Kubisha?

    Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa. Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Lee Min Ho kashika namba 1 tena kama msanii wa Kikorea anayependwa zaidi Kimataifa

    Hivi huyu jamaa ana dawa gani? Sidhani kama kuna msanii wa Kikorea anapendwa kama huyu jamaa Muigizaji Lee Min-ho ameshika namba 1 tena Kwa mujibu wa matokeo ya ‘Utafiti wa Hallyu (Wimbi la Kikorea) wa Kimataifa wa Mwaka 2026’ yaliyotangazwa mnamo Machi 30 na Wizara ya Utamaduni, Michezo na...
  8. masai dada

    JamiiForums Tanzania Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

    Jamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko maelezo Watu wangekuwa wanadate bila kufikiria au kuweka kipaumbele cha ndoa ingekua ni rahisi sana mtu...
  9. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Habari ndugu... Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka.. Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu... Kiufupi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola

    Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  12. PLOII

    JamiiForums Tanzania ARTETA IS THE ROTTEN WALKING BOY; Hovyo kabisa huyu afukuzwe tu. Miaka 8 no trophy. Kweli EFL tumekosa tena dhidi ya City?

    Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta. Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa kazi gani? Foward za Arsenal ni Butu lakini bado aweka trust kwao kweli huyu ni Kocha? Jana...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  14. Gumasa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nimekata tena viwanja 300M²-400M² karibu Sana Mwanza

    Kwa wale ambao bado wanahitaji maeneo kwa ajili ya kujenga makazi,karibu sana kwa mara nyingine.Viwanja vipo Kisesa Mikoroshoni.Kutoka Lami barabara ya Mwanza-Musoma ni shilingi 1000/= tu kwa pikipiki mpaka viwanja vilipo. Bei ya kiwanja ni 1,700,000/= mpaka 2,000,000/= kutegemea na ukubwa wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nimerudi Tena kwa kishindo

    Habari ndugu zangu. Wale wapenz na members wangu wado penda kufatilia therd zangu sasa ivi nabanwa sana n mda ivyo sipo online uku mda mrefu masomo yanaendelea Kila siku na Kila mda.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  19. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔 Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ipongezwe kwa kuongeza Mabasi Mwendokasi ruti ya Kimara tena yasiyo na rangi ya kijani maana Ruti hiyo haipendezwi na rangi ya kijani

    Hamjambo wote! 1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi. 2. Mabasi ni mapya na mazuri. 3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata. 4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
Back
Top Bottom